kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
angalau vijana wetu wanamuziki wanathubutu kufanya collabos na international artist kuliko wanamuziki wa kenya....show zao ni mombasa,kisumu,nakuru na eldoret.He will start losing content if he starts focusing on collaborations all time round... He should be working on a personal album, not just singles and collabos.

halafu we jamaa hata hujui progress ya muziki wa kizazi cha sasa....mwanamuziki gani anahangaika kutoa album siku hizi?....yaani atoe nyimbo 10 au 15 kwenye album moja wakati anaweza kutoa nyimbo moja tu na ikabadili maisha yake kwa ujumla....labda wanamuziki wa gospel... secular artist wana deal na singles tu.album kizamani sana.