Barabara nzuri ila mna kaudongo kabaya,mkafiche kwa kupanda majani basi.
Nice, I noticed the MOBIUS, which almost looks like the land rover defender on it's right.
Ndio inajengwa...tulia nyasi itapandwa soonBarabara nzuri ila mna kaudongo kabaya,mkafiche kwa kupanda majani basi.
Yeah but old model.Nice, I noticed the MOBIUS, which almost looks like the land rover defender on it's right.
Kwani hapo ni dsm?Ila we jamaa unastahili tuzo aisee ....
Naiona mobius barabarani.
Wewe ndio nilikuwa nakutafuta, ulisema mchanga wa pwani dsm unapausha roads.Ndio inajengwa...tulia nyasi itapandwa soon
Barabara za nairobi,kampala,kigali huko kwote hazijaparara kama za mombasa na DarWewe ndio nilikuwa nakutafuta, ulisema mchanga wa pwani dsm unapausha roads.
Looks like mchanga wa Nairobi nao unapausha barabara pia.
Za pwani zimeparariwa na sand soil ya pwani, za Kampala tena ndio usiseme na Nairobi, Moshi. Zimeparariwa na clay soil.Barabara za nairobi,kampala,kigali huko kwote hazijaparara kama za mombasa na Dar
Barabara za nairobi,kampala,kigali huko kwote hazijaparara kama za mombasa na Dar
Mobius hapo ni our local Kenyan car