Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
ndio mambo yalivyo humuWakenya watu safi tu me nilivokua ughaibuni ndo walikua marafiki zangu wa karibu tuliishi vizuri sana so nashangaa mnavopambana hapa kama maadui.
ndio mambo yalivyo humuWakenya watu safi tu me nilivokua ughaibuni ndo walikua marafiki zangu wa karibu tuliishi vizuri sana so nashangaa mnavopambana hapa kama maadui.
.I hate this thread. It just propels hate on each others. Nairobi be proud of Dar and the same viceversa. Long live EAC
Mkuu ukiwa mgeni unaweza kuhisi tunachukiana kweliWakenya watu safi tu me nilivokua ughaibuni ndo walikua marafiki zangu wa karibu tuliishi vizuri sana so nashangaa mnavopambana hapa kama maadui.
Mkuu hii inaitwa bampa 2 bampa.
Babu zao walibadilishana mashamba kwa kamusi za kiingereza.Leo wakenya wanakufa njaa ilihali mwingereza akipeta na mashamba yao.Why Kenya’s short-term fixes won’t resolve its maize supply crisis
Mbona watani zetu wana matatizo mengi kiasi hiki?, katika hili la njaa ninawaombeni sana tuwe waungwana tuwasaidie chakula, huku mahindi ni mengi sana, na mvua za vuli zimeanza, yatatuozea haya mahindi.
Naomba kuwasilisha
Ila we jamaa unastahili tuzo aisee ....
ndinda ni striker wetu hapa kenyaforum,kwa hakika tunajivunia.Ila we jamaa unastahili tuzo aisee ....
nyumba zipakwe rangi aisee😀😀😀😀😀😀😀