ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,254
You are wasting your time there people are dying of hunger in Kenya this by itself is a great opportunity you could be buying food cheaply from Tz and sell to your homeland.Kila mtu na uwezo wake….whatever floats your boat kilaza!..![]()
Meddling bado ipo sana.Vita vingi hapa Africa ni migogoro ya ukabila, na siku hizi dini hasa dini ya kiislam, lakini chini yake wanataka madaraka na Mali. Enzi za "Cold war" ndio kulikua na "influencers", na lengo lao kuu halikua Mali, bali ni "Geopolitical influence".
Unataka ushahidi wa kuingilia mambo ya nchi za Afrika? Hivi mara hii umesahau kelele za kupinga kujenga kwa bwawa la Nyerere?
Bado EVs mlizonazo ni 300
You can instill values to them but in the end the choice is theirs and is greatly dictated by the environment that they are living in.The only values my kids know is Love God with all your heart and treat everyone the way you would like them to treat you. Do not judge anyone on the basis of race, color, financial situation, religion, gender or sexual orientation….. the rest ni vitendawili tu… After that is about chasing their American dream…. ( with a Kenyan twist to it)….
Imefanana na soko au stand?
hahahaaaaa nimecheka kama mbwa wa kibera
Huyo ni bank teller yupo hapo Kenya na bank anayofanyia kazi naijua.Awe US wapi yupo baba ndogo slum huyo, aweke uthibitisho kama yupo US.
Vita vinaendelea kwasababu kiongozi aliyeweza kuimudu nchi aliondolewa kabla ya kujenga mifumo ya umoja. Mambo hayo hayo ya destabilizing maeneo yenye mali yamejirudia tena Iraq na Libya. Syria ilibahatika tuu Assad hakupinduliwa.Sasa mbona baada ya kumuondoa Said Barre vita vinaendelea?. Mkuu mbona hueleweki?, mara useme lengo ni kumiliki Mali za waafrika, mara njia za kupitisha meli, mara kwasababu Siade Bare alikua anafuata sera za ujamaa, Sasa tukueleweje?.
Nchi zote hizo ukiangalia unakuta aidha zina madini/mafuta au jirani wana hizo mali. Rwanda kwa mfano haina madini lakini mashariki ya DRC kuna madini. Tofauti za kiasili zinatumika kama chachu ku destabilize eneo husika (the infamous divide and rule principle)Haya tuambie kundi la ADF la Uganda nalo linafadhiliwa na nchi gani?. Rwanda walichinjana 1994, lengo la mataifa makubwa ni kupata nini Rwanda?, Burundi hadi Leo bado hali ni tete, Kule nako wanatafuta nini?, Bukinafaso, Chad, Mali na Cameroon, huko nako wanatafuta nini?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Aiseee, kwahiyo sisi waafrika tupo "helpess" kabisa, hatuna uwezo wowote wa kujiamulia lolote tunalotaka, yaani wazungu wanatugeuza vile watakavyo?.Vita vinaendelea kwasababu kiongozi aliyeweza kuimudu nchi aliondolewa kabla ya kujenga mifumo ya umoja. Mambo hayo hayo ya destabilizing maeneo yenye mali yamejirudia tena Iraq na Libya. Syria ilibahatika tuu Assad hakupinduliwa.
Nchi zote hizo ukiangalia unakuta aidha zina madini/mafuta au jirani wana hizo mali. Rwanda kwa mfano haina madini lakini mashariki ya DRC kuna madini. Tofauti za kiasili zinatumika kama chachu ku destabilize eneo husika (the infamous divide and rule principle)
Wakenya angalieni video la marioo ndio mtaona tz sio size yenu location kama ulaya kumbe NI BONGO LAND
Ipo wapi Kenya auHaha hiii ni Ile library ya donation mnajivunia kutoka china?







Kwa sasa naona hata kuingia humu unaona uvivu kwa jinsi tunavyowapiga gape kwenye kila kitu






