Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kigamboni
hamiducityparkofficial_1685013966234389.jpg
 
Semenya is an intersex (born like that). She didn't do any hormone therapy to increase her testosterone level like some of these freaks do.
I don’t think you have truly grasped this issue…. Do more research and you will learn, just like you learned about intersex and chromosomes….Knowledge is power and Science is great!…
 
Metro Trans' electric bus

View attachment 2633990
BRT gani iyo aina sehemu yake si uite matatu tu apo alafu ya umeme uku yapo sana adi private car kuna za umeme na gas adi solar sa sijui apo upya wa kututisha upo wapi... alafi AINA sifa ya kuitwa BRT iteni matatu... in tz kuna bus adi za gas zinakuja aseee toa uchafu umu 😁 😁 🤣 🙄😡
 
Viongozi wanaojitambua wapo, Magufuli ni mmoja ya viongozi waliojitambua ila ndo hivyo hakukaa.

Kenya sumu ya ukabila ilishawekwa na waingereza toka kipindi cha ukoloni na kwa bahati mbaya wamekosa kiongozi mwenye akili kulitambua hilo.

Waingereza ni mabigwa wa kugawa watu, siyo Afrika tuu, walifanya hivyo bara hindi kwa kugawa India na Pakistan, mpaka leo hawapatani. Akitokea kiongozi mwenye akili wa kutaka kuleta amani kama Imran Khan (Pakistan), wanamuondoa.
Waingereza walitawala Dunia nzima, iweje huko kote hawapigani bali ni Afrika tu na vijinchi vingine vilivyoshikilia Imani za dini na ukabila ndio vinaendekeza mapigano?.

Kwahiyo Kenya kabla ya kuja waingereza walikua wanakaa kwa amani hawapigani?. Nchi za Afrika kwa ujumla kabla ya kuja wazungu tulikua tunakaa kwa amani hatupigani?.

Mkuu, tatizo letu sisi waafrika tunawaogopa na kuwatukuza Sana wazungu, yaani hata kujisaidia hatuwezi tunawasubiri wazungu kwa Kila kitu.

Ni aibu kuona wanyarwanda wanachinjana kwa miezi mitatu wakati majirani tupo na tulikua na uwezo wa kuingilia kusimamisha Yale mauaji, lakini tulikaa kimya baadae tunalaumu USA kwa kutoingilia kati.

Mkuu, wazungu hawana uwezo huo unaowapa wewe, matatizo mengi ya Afrika, hasa hii migogoro mingi inatokana na sisi wenyewe, na tunaweza kuisimamisha sisi wenyewe, Kama alivyofanya Nyerere alipoingilia na kusuluisha Burundi.

Mkuu, tuachane na hii "mental slavery" ya kudhani wazungu wanaweza kutufanya watakavyo, Yana tunadhani wanaweza kutuchonganisha na kutupiganisha, na wanaweza kutufanya tuishi kwa amani kwa kadri watakavyo, huku ni kujidhalilisha kwa kiwango Cha juu Sana.

Wewe unaona upuuzi anaofanya Odinga hapo Kenya, uchaguzi umekwisha ameshindwa, mahakamani pia ameshindwa, lakini kwa kutumia ukubwa wa wafuasi alionao hataki kufuata Sheria analazimisha Sheria ndio imfuate yeye, Kenya wakipigana bado tutasingizia wazungu, hivi tunashida gani sisi waafrika?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Waingereza walitawala Dunia nzima, iweje huko kote hawapigani bali ni Afrika tu na vijinchi vingine vilivyoshikilia Imani za dini na ukabila ndio vinaendekeza mapigano?.

Kwahiyo Kenya kabla ya kuja waingereza walikua wanakaa kwa amani hawapigani?. Nchi za Afrika kwa ujumla kabla ya kuja wazungu tulikua tunakaa kwa amani hatupigani?.

Mkuu, tatizo letu sisi waafrika tunawaogopa na kuwatukuza Sana wazungu, yaani hata kujisaidia haruwezi tunawasubiri wazungu kwa Kila kitu.

Ni aibu kuona wanyarwanda wanachinjana kwa miezi mitatu wakati majirani tupo na tulikua na uwezo wa kuingilia kusimamisha Yale mauaji, lakini tulikaa kimya baadae tunalaumu USA kwa kutoingilia kati.

Mkuu, wazungu hawana uwezo huo unapowapa wewe, matatizo mengi ya Afrika, hasa hii migogoro mingi inatokana na sisi wenyewe, na tunaweza kuisimamisha sisi wenyewe, Kama alivyofanya Nyerere alipoingilia na kusuluisha Burundi.

Mkuu, tuachane na hii "mental slavery" ya kuwatumia wazungu Kama ndio kisingizio Cha upuuzi wetu wenyewe sisi waafrika.

Wewe unaona upuuzi anaofanya Odinga hapo Kenya, uchaguzi umekwisha, ameshindwa mahakamani, lakini kwa kutumia ukubwa wa wafuasi alionao hataki kufuata Sheria anakazimisha Sheria ndio imfuate yeye, Kenya wakipigana bado tutasingizia wazungu, hivi tunashida gani sisi waafrika?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Umeongelea kitu tofauti na nilichokisema, hapa si suala la kutukuza wazungu bali kuelewa jinsi wanavyo operate na kuja na solution.

Waafrika tuna matatizo yetu lakini pia tunafanyiwa songombinde nyingi. Kutatua matatizo ya wakina Odinga ni pamoja na tuutokomeze ukoloni mamboleo.

Umepngelea Rwanda kuchinjana, lakini hujuilizi ni nani aliyewapa wakina Kagame silaha za kuipindua serikali ya Rwanda miaka ya tisini?

Nimekupa mfano wa mshike mshike aliofanyiwa Magu, mpaka tukawa na magaidi kibiti, ni nani aliyewaleta hao jamaa? Mbona sasa hawapo kwa Samia?
 
I don’t think you have truly grasped this issue…. Do more research and you will learn, just like you learned about intersex and chromosomes….Knowledge is power and Science is great!…
Unataka nifanye uchunguzi gani?
 
Back
Top Bottom