Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Kumbe hujui kuwa Darfur ina mafuta mengi na hiyo ya kuua watu weusi ilikuwa ni njia ya kuwahamisha wakazi hao ili kupisha uchimbaji. kipindi hicho, China National Petroleum Company (CNPC) ndiyo walikuwa wawekezaji wakuu wa nje kwa serikali ya Sudan. Ile ilikuwa ni proxy war kati ya China na Marekani huku ikihusisha serikali ya Chad.Kwahiyo Kule Darfur ambako hao RSF(Janjawed) walipokua wanaua watu weusi walitumwa na mataifa makubwa?, au kulikua na njia ya kupitisha mafuta?.
Ndiyo, visima vingi vya mafuta viko sudani ya kusini, huku mashirika ya mafuta ya magharibi yakiwa na umiliki. Mwamba huo wa mafuta unaambaa mpaka Hoima ambako ndiko bomba letu la mafuta litaanzia.South Sudan walivyopigana kutaka kujitenga pia kulikua na mkono wa mataifa makubwa?,
Rais wa Somalia Mohamed Barre aliondolewe (1991), huyu alikuwa ni mjamaa na ni mwaka huo huo USSR ilisambaratika.Somalia wanapigana tangu 1991,
Zenawi wa Ethiopia naye aliingia maradakani 1991, na kama ulikuwa hufahamu serikali zote duniani zilizoingia madarakani 1991 zilikuwa supported na west (pamoja na ya Yeltin). Hawa wa Tigrinya (kabila dogo la Ethiopia) ndio walioitawala Ethiopia kwa miaka 30, wakipata support kutoka magharibi. Walijipendelea sehemu zote za serekali na kusababisha kabila kubwa la Oromo kutaka kujitenga.au Oromo wanavyopigana kutaka kujitenga pia ni mataifa makubwa?, vita vya Tigrey na Serikali ya Ethiopia pia ni mataifa makubwa,
Rais wa sasa Abiy alipoingia sera yake ilikuwa ni kuiunganisha nchi, Watigrinya wakataka kuiangusha serikali yake lakini kwa masaada wa China na Turkey waliweza kushinda.
Dah, wakati mwingine sielewi kama unatania au la.huko DRC zaidi ya vikundi 200 vya waasi, nako ni mataifa makubwa, Cameroon nchi Yao imegawanyika pande mbili, nako huko Je?. Mkuu Africa bado Sana.
Congo toka kuuawa kwa Lumumba imekuwa haitawaliki ili madini yaendelee kutoroshwa. Hivi umesahau muda si mrefu gari la UN lilidondoka na kumwaga madini? Sasa UN na madini wapi na wapi?





