Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naipa kongole Serikali kuja na Mpango wa Ujenzi wa Barabara Kwa EPC+F..

Afadhari mjenge mradi Kwa riba ila ukamilike kwa.wakati Ili uanze kuzalisha mara Moja kuliko.kujenga kidogo kidogo Kwa vihela vya makusanyo unachukua miaka Mingi na hakuna inachokamilisha..
 
Do you understand the difference between free and Democratic elections with election dispute?…… learn that first then come back so we can conclude this battle…otherwise you are not at the moment intellectually capable of this debate….[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
How does election dispute arise?
 
There are no roads in Tanganyika and yet people do not protest… kukaliwa na CCM kama chapati…🤣🤣🤣🤣🤣
Signs of a failed country ni mambo positive ya nchi ndio iko mitandaoni kila mahali na kusifu serikali kwa kila kitu kama North Korea.
Ata America don't have 100% positive news kwa media zao and its the most developed country on earth, lazima kuwe na mashida
 
Watanzania mnaharibu huu uzi, mtabaki huku pekee yenu mkijiongelesha. Unaingia uzi kutoka juu hadi chini hamna picha za dar ni matweet tu za ichoboy na joto na maneno tupu na porojo
Wanapost too much unnecessary news na tweets za kusifu CCM hadi wakijengewa choo kwa zahanati. Its a sign of a dictatorial country. Ata unaweza fikiria Tanzania hakunanga ajalai au kifo
 
Wanapost too much unnecessary news na tweets za kusifu CCM hadi wakijengewa choo kwa zahanati. Its a sign of a dictatorial country. Ata unaweza fikiria Tanzania hakunanga ajalai au kifo
🤣🤣🤣🤣 kweli muna hasira za kutosha musiondoke hii group mpaka tarehe 2 june kuna jambo kubwa la kihistoria na zawad kubwa kwenu 👇👇👇👇👇

Na terehe 31 may kna jambo kubwa adhimu pia so musiondoke wala musitumie hasira 😆😆😆😆
 
Central corridor inahitaji SGR, container & passengers vessels, lake Tanganyika ports upgrade, barabara from Tabora to Karema port, airports, national grid Kigoma, Katavi nafurahi kuona vyote hivi vinajengwa saivi

Shakahola anapata wapi nguvu ya kushindana na Dar port?

Kwanini mashakahola yanadhani Dar port is outshining Mombasa sababu ya mismanagement ya Mombasa na sio kwa sababu Dars growth pace ni kubwa kuliko uncompromised Mombasa efficiency?

20230524_094631.jpg

Wanapost too much unnecessary news na tweets za kusifu CCM hadi wakijengewa choo kwa zahanati. Its a sign of a dictatorial country. Ata unaweza fikiria Tanzania hakunanga ajalai au kifo
Stop lame excuses mnakimbia Uzi because mmefeli kwenye battle so to save your face mnatafuta visingizio. The battle was won longtime ago.
 
Central corridor inahitaji SGR, container & passengers vessels, lake Tanganyika ports upgrade, barabara from Tabora to Karema port, airports, national grid Kigoma, Katavi nafurahi kuona vyote hivi vinajengwa saivi

Shakahola anapata wapi nguvu ya kushindana na Dar port?

Kwanini mashakahola yanadhani Dar port is outshining Mombasa sababu ya mismanagement ya Mombasa na sio kwa sababu Dars growth pace ni kubwa kuliko uncompromised Mombasa efficiency?

View attachment 2633055

Mzigo wa central corridor alone ni mkubwa kuliko mzigo wa transit wote wa Mombasa kuelekea Uganda na Sudan, hapo bado hatujaweka mzigo wa Zambia, Malawi, Zimbabwe sasa Mombasa port inapata wapi gut ya kujiona kwamba yenyewe ndio chochote ukanda huu? Yaani kuna vitu vingine hata huihitaji akili kubwa kihivyo!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli muna hasira za kutosha musiondoke hii group mpaka tarehe 2 june kuna jambo kubwa la kihistoria na zawad kubwa kwenu [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Na terehe 31 may kna jambo kubwa adhimu pia so musiondoke wala musitumie hasira [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hivyo ndivyo wanavyovikimbia humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom