Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya's 2017 projected GDP is 55bn
Hahahaha, hawa wakora ni hatari.
Wanadai wako na 70bn ukiwaambia walete source wanaingia mitini wote. Hiyo 70 wamepika ili kujipatia mikopo toka mabenki ya Kimataifa.
A study conducted earlier this year justified 8/10 Kenyans are potential thieves.
Duhh hatari
Ndio maana ktk top ten ya most corrupt government in Africa Kenya IPO,
Ktk east Africa ni Kenya peke yake,
 
b76ccec8acbe035f2f0df9384bbfc105.jpg

Superb with No antennas
 
Kama kawaida huna akili hamtakuwa nayo
Nijue kiingereza nisijue its non of my busness
Lugha yangu ni kiswahili na kiswahili kimetokana na mababu zangu
Nikuone wewe apo ulierofa mwenye kujitambia lugha za mabwana zenu, waliowatawala miaka60

Utaendelea kuwa mtumwa mpaka unaingia makaburini kwa kujisifu waliokupa mabwana zenu
All great nation speak there own language, angalia China, ufaransa, britain, Korea, Japan

Endelea hivyohivyo kujisifia kuwa unauwezo wa kumridhisha bwana wako vizuri

.Nonsense
Sikukuelewa vzr bro
My apologies
Hahahaha
Dahh jamaa kanichekesha kweli
Anamwambia jamaa ati mmejua kiingereza mwaka Jana mnakuja kushindana na sisi
Hakika huu ni ushamba na uzoba uliopitiliza
Kwani kujua kiingeleza ndio nini?
Mbona wachina na wajapan hawajui kiingereza na wanamaendeleo ya hali ya juu kuliko wanaoongea kiingereza?
Kama kuongea kiingereza ndio maendeleo?
Kwanini wengi mnaishi ktk nyumba za MABOKSI NA MABATI tena ndani ya Nairobi.
 
Back
Top Bottom