Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumekucha tayari
IMG_0561.jpg
 
Watekenywa mmeshindwa kwa hoja mmekimbia

Upande wa slums kweli mmefunika...mko vibaya kubalini tuendelee maana ili battle ni ww uchoke lakini haliishi hadi tufahamiane

Upande wa usafiri ndani ya jiji
Tumewakalisha... sasa mnavyojifunua mko juu kwenyw kila kitu hua mnatumia vigezo gani

Kuna vitu hamtaki kubali mmeshindwa hapo ndipo siwaelewi
 
Wikipedia ata mi nikitaka naiedit
Hiyo ni public site
Yaan mtu yoyote anaweza kuibadili
Kuna mda mi mwenyewe niliibadilisha
Cha ajab ukisoma wikipedia hyo utaona data tofaut na ukisoma ya tallest in Tz na utaona tofaut ukiandika without antenae
Cha ajab wakenya mnajifanya wajuaji
Nimefika kenya lkn seriously nasema na najua UAP ni sawa na MILLENIUM TOWER kwa muonekano, umezid kidogo kwasabab ya kiantenae
Kuna theoretical na practical

MILLENIUM TOWER
758ce652042da5afb9b52c00ac1d51dc.jpg

UAP
9f05e6648cff78f5e11a479a65db743e.jpg
Wanapiga kelele,jengo lenyewe baya na muundo wa kizamani,kujaza concrete maudongo mengi.
 
HAYA HEBU JARIBU KU EDIT HII BASI..NYINYI NI WAJUAJI SANA...HATA ILE KITU HAMJUI MNASEMA MNAJUA..ATI JU SASA MUMEJUA KIINGEREZA MWAKA ULIOPITA MNAKUJA KU COMPETE NA SISI
The Tallest Buildings In Africa
Wikipedia ata mi nikitaka naiedit
Hiyo ni public site
Yaan mtu yoyote anaweza kuibadili
Kuna mda mi mwenyewe niliibadilisha
Cha ajab ukisoma wikipedia hyo utaona data tofaut na ukisoma ya tallest in Tz na utaona tofaut ukiandika without antenae
Cha ajab wakenya mnajifanya wajuaji
Nimefika kenya lkn seriously nasema na najua UAP ni sawa na MILLENIUM TOWER kwa muonekano, umezid kidogo kwasabab ya kiantenae
Kuna theoretical na practical

MILLENIUM TOWER
758ce652042da5afb9b52c00ac1d51dc.jpg

UAP
9f05e6648cff78f5e11a479a65db743e.jpg
 
HAYA HEBU JARIBU KU EDIT HII BASI..NYINYI NI WAJUAJI SANA...HATA ILE KITU HAMJUI MNASEMA MNAJUA..ATI JU SASA MUMEJUA KIINGEREZA MWAKA ULIOPITA MNAKUJA KU COMPETE NA SISI
The Tallest Buildings In Africa
Ongea uongeavyo lkn jua2 kuwa length of floors dunia nzima huwa ni standard
Magorofa yote huwa na floor length almost ileile
Sikulaumu kuwa na upeo mdogo wa kufikiri najua mnadhani kenya imeizid Tanzania kwa kuedit Wikipedia
 
sasa hivi tumegundua mbinu,kila mkipanga maarifa ya kukimbia hii battle,sisi tutakuwa tunawa-provoke kwa maneno ya maudhi ili mpate ghadhabu na hatimaye muendelee kukokomenti...hatoki mtu hapa...thread itaendelea ku-trend kila siku...hakuna namna,lazima tuwatumie ku-push agenda yetu ya siri.
 
Ongea uongeavyo lkn jua2 kuwa length of floors dunia nzima huwa ni standard
Magorofa yote huwa na floor length almost ileile
Sikulaumu kuwa na upeo mdogo wa kufikiri najua mnadhani kenya imeizid Tanzania kwa kuedit Wikipedia
Hahahaha
Dahh jamaa kanichekesha kweli
Anamwambia jamaa ati mmejua kiingereza mwaka Jana mnakuja kushindana na sisi
Hakika huu ni ushamba na uzoba uliopitiliza
Kwani kujua kiingeleza ndio nini?
Mbona wachina na wajapan hawajui kiingereza na wanamaendeleo ya hali ya juu kuliko wanaoongea kiingereza?
Kama kuongea kiingereza ndio maendeleo?
Kwanini wengi mnaishi ktk nyumba za MABOKSI NA MABATI tena ndani ya Nairobi.
 
Kama kawaida hawana akili
Nijue kiingereza nisijue its non of my busness
Lugha yangu ni kiswahili na kiswahili kimetokana na mababu zangu
Nikuone wewe apo ulierofa mwenye kujitambia lugha za mabwana zenu, waliowatawala miaka60

Wataendelea kuwa mtumwa mpaka unaingia makaburini kwa kujisifu waliokupa mabwana zao
All great nation speak there own language, angalia China, ufaransa, britain, Korea, Japan

Endelea hivyohivyo kujisifia kuwa unauwezo wa kumridhisha bwana wako vizuri

.Nonsense
 
Back
Top Bottom