poleni sana majirani.Hahahhaha
View attachment 617324
icho hii imetokea lini?...ni tukio linalotokana na uchaguzi wa leo?...smh.
Leo hio 😀😀😀😀😀icho hii imetokea lini?...ni tukio linalotokana na uchaguzi wa leo?...smh.
.haina haja ya ubishi kwa waliofika nairobi wamejionea huwez ilinganisha na kijiji dsmNinasubiri jibu la kuhusu master plan ya jiji la Nairobi. Kisha tutaendelea. Hapa ni kutoa jibu la picha au reference document. Ukisema kwa maneno tu haina maana yoyote. Hata mimi hapa ninaweza kukuambia ni tajiri kuliko Dangote. Lakini kukiwepo na evidences ndio tunajua.
i have been going to nairobi time to time....apart from the thika highway, flyovers and footbridges,i see nothing new in nairobi..haina haja ya ubishi kwa waliofika nairobi wamejionea huwez ilinganisha na kijiji dsm
This is Garissa
😀😀😀😀😀😀 poleni sana kwan garisa iko uganda????😛😛😛😛This is Garissa
icho waonee huruma....wenzio wapo katika taharuki ya uchaguzi wa marudio....acha wapumue angalau kwa leo na kesho....Alaf anakuja mjinga anakwambia GDP 70b😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Labda 70b ya ndotoni tena ndoto ya alinacha angalia tofaut hapo 55 - 51.6= 3.4
unafkiri 70b mchezo labda data za kupika ndio mutafkisha hio 70b😛😛😛😛
within 1 yr tanzania imepanda by 3.9b sasa hapo unafkiri by 2020 kenya itaeleza nn kwa tanzania
View attachment 617413

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 na hio 55 bado ni projected GDPicho waonee huruma....wenzio wapo katika taharuki ya uchaguzi wa marudio....acha wapumue angalau kwa leo na kesho....![]()