muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,854
Kunyaland mtarudi tuu hapa hapa Tanzania 😁😁
Huweza ukasena mnapata mshindani na Rwanda. RWANDA ipi? yenye watu wangapi? ni uongo to, maji yashafika shingoni hawa
Kunyaland mtarudi tuu hapa hapa Tanzania 😁😁
Hiyo Kunyaland ni Nchi ya loosers na failures 🤣🤣Huweza ukasena mnapata mshindani na Rwanda. RWANDA ipi? yenye watu wangapi? ni uongo to, maji yashafika shingoni hawa
Ni Msouth Africa.Kweli huyu ni "the instigator".
Wakenya, haya ndio mambo ya kujivunia, sio Malls na majengo marefu