ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,463
- 88,559
Basic Salary ya Engineer II wa Halmashauri au RS engineer Mkoani ni kiasi gani?Unakataa wew sio dalali wa mabati? Nikuumbue?
Kesi yangu mim sio wew kuwa ni dalali, case yangu ni kwanin unadanganya wew ni mtumishi wa umma? Afu eti posho unalipwa zaid ya basic salary ..
Rate ya posho Kwa mtu wa level hiyo ni kiasi gani akienda site kwenye supervision?
Ukijua hayo maswali huwezi shangaa kuwa na posho kubwa karibu mara 2 ya Basic Salary