Sisi maandamano yetu ni peaceful most of the time we use nguvu ya hoja katika kupata kile jamii yetu inachokitarajia kama unabisha hata mkoloni aliachia nchi yetu kwa mdomo tuu(nguvu ya hoja). Katika nyanja hiyo katika kutatua matatizo yetu tuko levels nyingine mtuache tuu.Kama nchi z maana FRANCE, UK, US, HONG KONG etc watu wanaprotest sembuse nchi maskini ya kiafrika inayonuka mavi!!!!
Na unajipiga kifua hapa ukijiita mwanaume kamili!!
Wacheni uoga, kuweni wanaume na mtoke barabarani.