Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wadanganyika hawawezi protest juu ya gharama ya kodi sababu ya uoga ata heri wafunge maduka waende hasara. Wanaume wanaogopa CCM polisi maumbwa nkt! kazi ni kutukana wakenya hapa jamii forums sababu hawawezi pigwa ngumi ya meno nyuma ya keyboard. Ihiii!
Washa tire matikati ya mwendokasi
View attachment 2625287
Tatizo Kenya ni nchi ya vibaka kwenu migomo ni fursa ya kuiba hata Al shabab walivyowavamia wanajeshi wenu walitumia mwanya huo kuiba biscuits na pesa Westgate
 
Fwa0cjLaMAEdVTb


Fwa0cjDagAYrH5R


 
I just saw the leader of Singapore is in Kenya 🇰🇪…. I lost count how many world leaders have trooped to Kenya this year alone …. Something is cooking ….the USAVP went to TZ and you couldn’t sleep for a week bragging….. The British just announced King Charles next trip is to Kenya…. And when we tell you we are the regional Kings mnaanza kusema Njaa na Kibera… you don’t understand foreign policy and power … you are fools to the core ..🤣🤣🤣🤣🤣
Mzee wewe ni mzima kweli.? Mbona umeeleza ujinga kibao ambao auhusiani na post iliotumwa.?
 
Japo alikuwa na elements za udikteta ila huyu alikuwa sio mjamaa na alikuwa anaelewa maana ya biashara, uwekezaji na Uchumi
 
Sisi maandamano yetu ni peaceful most of the time we use nguvu ya hoja katika kupata kile jamii yetu inachokitarajia kama unabisha hata mkoloni aliachia nchi yetu kwa mdomo tuu(nguvu ya hoja). Katika nyanja hiyo katika kutatua matatizo yetu tuko levels nyingine mtuache tuu.
Tatizo lao hao nyang’au ni kuleta ukabila kwenye maandamano yao.
 
Mzee wewe ni mzima kweli.? Mbona umeeleza ujinga kibao ambao auhusiani na post iliotumwa.?
Don’t play that holier than thou game with me… isn’t that the same shit you Bongolalas do all day here?…now that I do the same , you are offended….🤣🤣🤣🤣🤣…. So why don’t now respond to my post … have some balls… and please keep njaa and other nonsense off the grid…🤣🤣🤣🤣🤣🤣….. respect is earned not given kilaza…
 
Hivi mliopo serikalini hamuioni hii kitu? Nchi ina graphite za kutosha,lakini mpango wa kuunda betri za gari za umeme Hamna.
Hivi nani katuroga?

Hata kuliongelea hili jambo hakuna. Waziri wa viwanda unanisikia? Waziri wa kazi na ajira upo? Waziri wa fedha na mpango fanya mpango uongeze na mapato

 
Una hangaika sana bwashee 😁😁
Hiyo ilikuwa mwaka gani umenikimbusha kitambo 🤣🤣

Mwisho wewe si ndio Huwa unasema Mimi ni dalali 😁😁😁😁😁😁

Karibu huku 👇View attachment 2626751View attachment 2626752View attachment 2626754
Mar, 2023. Ilikuwa kitambo sio?
Watumishi wa Umma ni kundi la watu Maskini wanaojitahidi sana kuficha Hali Yao Kwa kupasi nguo..

Dereva Bajaji anaepeleka hesabu ya 20,000 Kwa boss wake ana maisha Mazuri kushinda Watumishi karibia robo tatu wa Umma.

Dereva Bajaji akikosa sana Kwa siku baada ya kutoa ya boss ni anabakiwa na 30,000-40,000 take home ambayo ni sio chini ya 1,000,000 on average hapo hana gharama za usafiri Kwa familia yake au kwenye mishe zake maana atatumia hiyo hiyo bajaji ya boss..

Ni Watumishi wangapi wa Umma wanapata milioni Moja Kwa mwezi hata wakiwa na hizo posho? Binafsi ni mtumishi wa Umma naongea ambacho Nina uhakika nacho.Hata Mimi mwenyewe hiyo take home ya milioni Moja naiona kwenye basic tuu sio take home,Laiti ningekuwa nafanya kazi sehemu ambayo Haina posho ningeadhirika,huu ndio ukweli.

Sasa chukulia Watumishi wengi wa Umma pamoja na Mishahara midogo Kuna wanapata posho ila unakuta posho zenyewe hazifiki hata Laki 5 Kwa mwezi,huyu atachaje kuwa na maisha magumu sawa na bodaboda?

Kwa dereva Bajaji yeye alifanya kazi miaka 2 tuu ananunua Bajaj yake lakini Watumishi wako kazini miaka na miaka kujenga tuu Hadi Mkopo na nyumba inaishia njiani.

Mwisho Serikali iache kudhalilisha Watumishi, iwaongezee Mishahara Ili wapate hadhi inavyostahili badala ya kudharaulika Kila siku na ndio sababu ya wake zao wengi kugongwa hovyo na madereva Bajaji na Bodaboda maana wao Wana uhakika wa supply ya pesa na ule usafiri unawapa hadhi kushinda Mtumishi.
20230518_192131.jpg
20230518_192142.jpg
 
Back
Top Bottom