Tanzania leads in the use of ICT.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wadanganyika hawawezi protest juu ya gharama ya kodi sababu ya uoga ata heri wafunge maduka waende hasara. Wanaume wanaogopa CCM polisi maumbwa nkt! kazi ni kutukana wakenya hapa jamii forums sababu hawawezi pigwa ngumi ya meno nyuma ya keyboard. Ihiii!
Washa tire matikati ya mwendokasi
View attachment 2625287
Kweli huyu ni "the instigator".Itawauma sana hii. Na mwenye hiyo tweet wala sio mtanzania
View attachment 2625935
Swala.la Haki na msimamo ni mambo mawili tofauti,tatizo akili huna na unadakia mambo..
Huwezi kumhukumu mtu Kwa Kauli mbaya na kama.ni ishu ya Kauli mbali basi nyie mashabiki wa Mwendazake mumeanza kumhukumu huyo JPM wako..
Hoja Iko pale pale kwamba Mwigulu anasimamia maamuzi ya Serikali tena yaliyopitoshwa sio tuu na Baraza la Mawaziri Bali na Bunge..
Hoja ya TRA inapata kiburi Kwa sababu ya boss wao Mwigulu inatoka wapi? Hoja ya eti Mwigulu anadharau Wabunge inatoka wapi? Ndio kero ya wafanyabiashara hiyo?
Hizo ni siasa uchwara za wajinga na wapuuzi ambao Wana malengo Yao ya Kisiasa Kwa mgongo wa tatizo..
Leta hapa ushahidi wa Mwigulu na hizo shida za TRA tuone wewe kima wa Saanane NP..
Haambiliki Kwa lipi hasa? Hizo Sheria Huwa anawalazimisha kupitisha huko Bungeni? Una fursa ya ku block Sheria mbovu harafu unakuja kulalamika ,una akili au Matope?
Ndio maana namkubali Mwigulu Kwa sababu nafanana nae character,Huwa hajali mnaongea nini.ilimradi kina Tija Songa mbele..
Yaani hapa unajisumbua,unune,utukane sitobadili msimamo wangu.Leta ushahidi wa kuhusika Kwa Mwigulu na operations za TRA.
Huna hoja 😂😂😂😂 mnachoweza ni matusi kuficha ignorance yenuSema nini, we jamaa huenda ni kweli dishi limecheza kiaina , ila fresh tu mkuu. Maisha tu Haya.
Wewe mbwa sisi ni taifa la watu waliostaarabika, hatatudai haki kwa kuandamana kwa kuchoma moto mali za watu, au kupigana hovyo na police barabarani..
Hizo vitu mnafanya huko kwenu zinanikumbusha zile movements kipindi cha Industrial revolution in British.. ile movement ilioitwa luddism 🤣🤣🤣 nyinyi ndio mko stage hiyo bado hadi kwenye dunia ya sasa.
Angalia jinsi bongo tunavyotatua matatizo yetu.. 👇.
Protesting" not the same as demonstration, huna elimu wewe. Hao wamefunga duka zao Kama njia ya ku-protest na serikali imewasikiliza.Kama nchi z maana FRANCE, UK, US, HONG KONG etc watu wanaprotest sembuse nchi maskini ya kiafrika inayonuka mavi!!!!
Na unajipiga kifua hapa ukijiita mwanaume kamili!!
Wacheni uoga, kuweni wanaume na mtoke barabarani.
Wamesharudi kuna mahali nimesoma Governor wa Nairobi amewaomba wafanyabiashara wa Tanzania kutoka Karagwe na Ruvuma wamuuzie tani 34 za mahindi. Na wamefikia makubaliano.Kunyaland mtarudi tuu hapa hapa Tanzania [emoji16][emoji16]