Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You are a dumb man I ever met[emoji706] wewe si ndio unasema JPM sijui alikua atendi haki kwa poticians and stuffs and that alikua haambiliki leo hii Mwigulu anaambiwa ukweli kuwa yeye ni dhaifu na anaambiwa hizo hadi na wanasiasa wenzake wa CCM unasema kuwa anafanyiwa figisu!!! Na kuwa unampenda that haterekeki!! Usijali tushajua upo hapa kutetea upande fulani huku ukikandamiza na kusema vibaya marehemu.
Now naelewa kwanini watz nguli humu walikupuuza wewe ni dumb[emoji706]
Swala.la Haki na msimamo ni mambo mawili tofauti,tatizo akili huna na unadakia mambo..

Huwezi kumhukumu mtu Kwa Kauli mbaya na kama.ni ishu ya Kauli mbali basi nyie mashabiki wa Mwendazake mumeanza kumhukumu huyo JPM wako..

Hoja Iko pale pale kwamba Mwigulu anasimamia maamuzi ya Serikali tena yaliyopitoshwa sio tuu na Baraza la Mawaziri Bali na Bunge..

Hoja ya TRA inapata kiburi Kwa sababu ya boss wao Mwigulu inatoka wapi? Hoja ya eti Mwigulu anadharau Wabunge inatoka wapi? Ndio kero ya wafanyabiashara hiyo?
Hizo ni siasa uchwara za wajinga na wapuuzi ambao Wana malengo Yao ya Kisiasa Kwa mgongo wa tatizo..

Leta hapa ushahidi wa Mwigulu na hizo shida za TRA tuone wewe kima wa Saanane NP..

Haambiliki Kwa lipi hasa? Hizo Sheria Huwa anawalazimisha kupitisha huko Bungeni? Una fursa ya ku block Sheria mbovu harafu unakuja kulalamika ,una akili au Matope?

Ndio maana namkubali Mwigulu Kwa sababu nafanana nae character,Huwa hajali mnaongea nini.ilimradi kina Tija Songa mbele..

Yaani hapa unajisumbua,unune,utukane sitobadili msimamo wangu.Leta ushahidi wa kuhusika Kwa Mwigulu na operations za TRA.
 
Wewe na mapovu Yako kama unaharisha ume bring evidence zipi? Takataka kabisa
Narudia tena leta evidence zinazoonesha tatizo ni Waziri Mwigulu vinginevyo ni upuuzi tuu kama wapuuzi wengine.
Hivi wewe unahitaji evidence zipi? Kusoma hujui kusikia je? kuona je? Wewe ni changamoto kijana na ni hasara kwa hili taifa mtu akizungumza ukweli unasema povu!!
Okay sawa nikirudi kwenye mada yako, Hivi wewe unasikiliza bunge au hata kuangalia videos zake kama ni mtu wa kazi??? Kule kuna evidence unazohitaji go and dig there au unataka kumezeshwa?
Haya ni vipi kuhusu hawa wafanyabiashara ambao ni watu lengwa kabisa na sera za kodi pamoja na sera za fedha ambazo Wizara ya fedha inahusika?
Wizara ya fedha ipo chini ya nini? Sasa kama watu wanachangamoto unataka walaumu wapi? Wamlaumu raisi wakati yeye raisi kaweka msaidizi na msimamizi!?? Na hapo pia unahitaji evidence za ziada??!!!
 
Mapandikizi ukimaanisha nini? Nimekuwa nikiangalia comments zako na replies humu we jamaa unamatatizo tena sio madogo, nimegundua kuwa hujui kitu zaidi ya kuropoka na twitter posts ndio huwa evidence zako idiot man. Bring facts not gossip watu kama nyie mnadeserve huko facebook sio hapa jamii forums[emoji706]
Anazingua kichizi huyu jamaa!!
 
Huko Bungeni kumefanya nini? Au Bunge limewahi kufanya maamuzi yapi kumhusu Mwigulu?
Ujinga na chuki ndio zinawasumbua..
Kama una hasira na uchungu kameze misumari na wembe itakufa Bure Kwa shinikizo la Moyo kujadili na Mimi Kwa mihemko.
 
Swala.la Haki na msimamo ni mambo mawili tofauti,tatizo akili huna na unadakia mambo..

Huwezi kumhukumu mtu Kwa Kauli mbaya na kama.ni ishu ya Kauli mbali basi nyie mashabiki wa Mwendazake mumeanza kumhukumu huyo JPM wako..

Hoja Iko pale pale kwamba Mwigulu anasimamia maamuzi ya Serikali tena yaliyopitoshwa sio tuu na Baraza la Mawaziri Bali na Bunge..

Hoja ya TRA inapata kiburi Kwa sababu ya boss wao Mwigulu inatoka wapi? Hoja ya eti Mwigulu anadharau Wabunge inatoka wapi? Ndio kero ya wafanyabiashara hiyo?
Hizo ni siasa uchwara za wajinga na wapuuzi ambao Wana malengo Yao ya Kisiasa Kwa mgongo wa tatizo..

Leta hapa ushahidi wa Mwigulu na hizo shida za TRA tuone wewe kima wa Saanane NP..

Haambiliki Kwa lipi hasa? Hizo Sheria Huwa anawalazimisha kupitisha huko Bungeni? Una fursa ya ku block Sheria mbovu harafu unakuja kulalamika ,una akili au Matope?

Ndio maana namkubali Mwigulu Kwa sababu nafanana nae character,Huwa hajali mnaongea nini.ilimradi kina Tija Songa mbele..

Yaani hapa unajisumbua,unune,utukane sitobadili msimamo wangu.Leta ushahidi wa kuhusika Kwa Mwigulu na operations za TRA.
Alooo we jamaa huelewi hueleweki na ufahamu wa ziada huna naishia hapa sitojihusisha na wewe kima...

Hongera kwa kuingia fainali mtani
 
Kama mjomba angekuepo kwa kesi ya huyu bi mkubwa kuna wa.s.nge wangepigwa na chini .. 👇.

Huyu mama kesi yake ni kuwa aliagiza vitende na akadeclare destination yake sijui ni Zambia or malawi.. lkn mizigo yote akahifadhi bongo..
Wana haki ya kuchukua mizigo yake na kumpa kesi.. lkn hao viongoz wengine hamna kitu
 
Alooo we jamaa huelewi hueleweki na ufahamu wa ziada huna naishia hapa sitojihusisha na wewe kima...

Hongera kwa kuingia fainali mtani
Umalaya wako ndio umekuponza kwani nilikuita 😁😁😁😁
Utaelewa vipi na wewe una mihemko,chuki na siasa uchwara?
Wewe ni nyumbu tuu hakuna unachoelewa.
 
Hongereni sana Yanga.
Ni rasmi sasa Tanzania tuko juu ya DR Congo, Tanzania tumevuna points tano na kufikisha points 56.5.. ngoja niupdate saiz kwenye website
Screenshot_20230517-205912_Chrome.jpg

Table inasoma hiv sasa, baada ya kuupdate 👇
Screenshot_20230517-211050_Chrome.jpg
 
Mapandikizi ukimaanisha nini? Nimekuwa nikiangalia comments zako na replies humu we jamaa unamatatizo tena sio madogo, nimegundua kuwa hujui kitu zaidi ya kuropoka na twitter posts ndio huwa evidence zako idiot man. Bring facts not gossip watu kama nyie mnadeserve huko facebook sio hapa jamii forums[emoji706]
Anazingua kichizi huyu jamaa!!

Alikuwa mtalii shuleni. Askrim nyingi na mihogo, kalmat na bagia. Kakua anaingia kwenye mijadala ya watu wazima na elimu yake butu!
 
Wadanganyika hawawezi protest juu ya gharama ya kodi sababu ya uoga ata heri wafunge maduka waende hasara. Wanaume wanaogopa CCM polisi maumbwa nkt! kazi ni kutukana wakenya hapa jamii forums sababu hawawezi pigwa ngumi ya meno nyuma ya keyboard. Ihiii!
Washa tire matikati ya mwendokasi
View attachment 2625287
Si bora hao wafanya biashara wanatetea maslahi yao na hawa je 🤣🤣👇👇👇
 
Back
Top Bottom