Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kimewaramba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tanzania protesting over high taxes [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wadanganyika hawawezi protest juu ya gharama ya kodi sababu ya uoga ata heri wafunge maduka waende hasara. Wanaume wanaogopa CCM polisi maumbwa nkt! kazi ni kutukana wakenya hapa jamii forums sababu hawawezi pigwa ngumi ya meno nyuma ya keyboard. Ihiii!
Washa tire matikati ya mwendokasi
View attachment 2625287
Wewe mbwa sisi ni taifa la watu waliostaarabika, hatatudai haki kwa kuandamana kwa kuchoma moto mali za watu, au kupigana hovyo na police barabarani..

Hizo vitu mnafanya huko kwenu zinanikumbusha zile movements kipindi cha Industrial revolution in British.. ile movement ilioitwa luddism 🤣🤣🤣 nyinyi ndio mko stage hiyo bado hadi kwenye dunia ya sasa.

Angalia jinsi bongo tunavyotatua matatizo yetu.. 👇.
 
Mambo ya maisha ya watu usiyachanganye na siasa kichaa wewe.. kwa sisi wafanya biashara wachanga tu lakini tunaelewa msoto jinsi ulivyo kwenye hizo ushuru ..
Nijibu hapo Mwigulu anakuwaje kero? Harafu usiwe mjinga;aliyekwambia biashara unafanya peke yako nani? Unajua kwenye biashara yangu ya mbao nalipa Kodi aina ngapi? Ni Mwigulu ndio ameziweka?
 
Mwigulu hafai hata kabla Mwenda zake hajafa,ana majibu ya mipasho kama shangingi la pemba
Jiwe na Mwigulu nani ana majibu ya shombo? Ndio maana nimekwambia hapa mnafanya siasa na attack binafsi,napenda Rais amuache hapo hapo..

Mnaacha kujadili matatizo halisi mnajadili watu ,kumbe shida sio TRA tena Bali issues zenu binafsi na Mwigulu au?

Kwanza namkubali Mwigulu ni mtu anaejiamini na hayumbishwi na porojo za kindesi za Wanasiasa uchwara wasio na hoja..
 
Hizi ni siasa za kitoto za mapandikizi kina Chadomo wakishirikiana na Sukuma gang..

Sasa sijajua hapo Mwigulu anakuaje kero [emoji16][emoji16]
Mapandikizi ukimaanisha nini? Nimekuwa nikiangalia comments zako na replies humu we jamaa unamatatizo tena sio madogo, nimegundua kuwa hujui kitu zaidi ya kuropoka na twitter posts ndio huwa evidence zako idiot man. Bring facts not gossip watu kama nyie mnadeserve huko facebook sio hapa jamii forums[emoji706]
 
Wewe na mapovu Yako kama unaharisha ume bring evidence zipi? Takataka kabisa
Narudia tena leta evidence zinazoonesha tatizo ni Waziri Mwigulu vinginevyo ni upuuzi tuu kama wapuuzi wengine.
 
Jiwe na Mwigulu nani ana majibu ya shombo? Ndio maana nimekwambia hapa mnafanya siasa na attack binafsi,napenda Rais amuache hapo hapo..

Mnaacha kujadili matatizo halisi mnajadili watu ,kumbe shida sio TRA tena Bali issues zenu binafsi na Mwigulu au?

Kwanza namkubali Mwigulu ni mtu anaejiamini na hayumbishwi na porojo za kindesi za Wanasiasa uchwara wasio na hoja..
You are a dumb man I ever met[emoji706] wewe si ndio unasema JPM sijui alikua atendi haki kwa poticians and stuffs and that alikua haambiliki leo hii Mwigulu anaambiwa ukweli kuwa yeye ni dhaifu na anaambiwa hizo hadi na wanasiasa wenzake wa CCM unasema kuwa anafanyiwa figisu!!! Na kuwa unampenda that haterekeki!! Usijali tushajua upo hapa kutetea upande fulani huku ukikandamiza na kusema vibaya marehemu.
Now naelewa kwanini watz nguli humu walikupuuza wewe ni dumb[emoji706]
 
Wadanganyika hawawezi protest juu ya gharama ya kodi sababu ya uoga ata heri wafunge maduka waende hasara. Wanaume wanaogopa CCM polisi maumbwa nkt! kazi ni kutukana wakenya hapa jamii forums sababu hawawezi pigwa ngumi ya meno nyuma ya keyboard. Ihiii!
Washa tire matikati ya mwendokasi
View attachment 2625287
Wewe jamaa umeshindikana, yani aijawahi ona mtu hana akili kama wewe! Dah!! Wewe ndo mkenya wa hovyo kabisa kuwahi kuyokea. Yani siamini kiasi gani akili huna!!
 
Back
Top Bottom