Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Barabara za Konza got better horizontal infrastructure than these …. I know you will never understand… make google your friend kilaza…
Tumia terminology unayotaka wewe mjomba lakini jua hii fence ni ngumu ndugu huwezi kwea .. DOM government city 👇u guys have nothing in comparison to DODOMA.. hizi cluster zipo nne kwenye huu mji
Screenshot_20230513-170456_1.jpg
Screenshot_20230513-170800_1.jpg
Screenshot_20230513-170813_1.jpg
 
Magufuli alikua na mapungufu makubwa katika eneo zima la mahusiano(Hard personality), hilo halipingiki.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nop!

The indisputable fact is, you do not have access to sensitive information, so it is extremely difficult for you to tell apart chaff from the grain.
 
Hili suala la app kushindwa kufungua picha linakera sana, kuna mtu atasema tumia chrome, mm sipendi kutumia chrome napenda kutumia app. Sio lazima wote tutumie chrome thus y kuna choice, kama hawataki kuwe na choice waifute app isiwepo.

Ni muda mrefu tumelalamika lkn hakuna ufumbuzi, JF imekuwa inaboa kuingia kwa sisi watumiaji wa app ndiyo maana naona uvivu kuingia jf siku hizi, walifanyie kazi haraka au tuendelee kuingia mara chache chache kama hivi mwishowe tukaushe kabisa mana chrome sio user friend kwa phone labda PC.

Cc Maxence Melo Invisible Paw Moderator
Inaboa sana aisee
 
Back
Top Bottom