ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,245
Weka picha kuonesha zile ghorofa zipo acha debate za hasira, that’s how we roll in JF.Your ignorance know no boundaries…. Wewe unafahamu Tatu City ama ni kupayuka tu?
Huu mfumo wa fainali kuchezwa nyumbani na ugenini Mimi si upendi hauleti uwiano sawa.Pamoja na kuwa logistics za Africa ni ngumu lakini ni muhimu wachezaji wetu wajifunze namna ya kucheza fainali moja.Tunatia huu mfumo lakini world cup,Fifa Club world cup.Hakuna huu mfumo hautuwezi shinda huko.
Wacha ujinga kwani nyie tu ndio soko? BTW tuna the most modern silos za kuhifadhi grains in the region na tunauza kila mahali! Ukiacha South Sudan saahii Sudan wanazichapa hamna anayekumbuka kulima! Around the neighbors, Uganda tu ndo wanajitosheleza chakula!Kwani ni ya free?…. We buy…I thought you moved to capitalism … without us buying from your farms si mtakufa na umaskini …your farmers will demonstrate in the streets…. Jaribu kufunga uone!…
Eldoret watu wanakufa njaa!Eldoret has grown as an agricultural and industrial hub in East Africa
View attachment 2619895View attachment 2619896View attachment 2619897View attachment 2619898View attachment 2619900View attachment 2619902View attachment 2619903View attachment 2619904View attachment 2619905View attachment 2619906View attachment 2619908
Huwezi shinda wewe timu gn kwanza, Yanga inashinda popote iwe nyumbani au ugenini, tumeshinda Uarabuni, tumeshinda Africa ya kati na tumeshinda Africa magharibi tukiwa ugenini, hakuna wa kutuzuia this time, japo mm binafsi sipendi huu utaratibu wa home and away finals ni kupitwa na wakati.Huu mfumo wa fainali kuchezwa nyumbani na ugenini Mimi si upendi hauleti uwiano sawa.Pamoja na kuwa logistics za Africa ni ngumu lakini ni muhimu wachezaji wetu wajifunze namna ya kucheza fainali moja.Tunatia huu mfumo lakini world cup,Fifa Club world cup.Hakuna huu mfumo hautuwezi shinda huko.
Mimi siongelei Yanga naongelea Mfumo.Ulibadilishwa kuwa mechi moja Al Alhly alipopigwa na Wydad Morroco.Wamisri wakaloby hadi tunardi kwenye mechi mbili kwa sababu timu za Misri zinaona hauwabebiHuwezi shinda wewe timu gn kwanza, Yanga inashinda popote iwe nyumbani au ugenini, tumeshinda Uarabuni, tumeshinda Africa ya kati na tumeshinda Africa magharibi tukiwa ugenini, hakuna wa kutuzuia this time, japo mm binafsi sipendi huu utaratibu wa home and away finals ni kupitwa na wakati.
Mbn hapo tuko pamoja, ila mm nmegusia pale uliposema hatushindi huko nasema tunashinda, alafu hawa mbwa waarabu wanaharibu sana soka la Afrika mbwa hawa na mpira wenyewe hawajui, ndiyo maana timu za Tz tumeanza kuwakanyaga huko huko kwao.Mimi siongelei Yanga naongelea Mfumo.Ulibadilishwa kuwa mechi moja Al Alhly alipopigwa na Wydad Morroco.Wamisri wakaloby hadi tunardi kwenye mechi mbili kwa sababu timu za Misri zinaona hauwabebi
Vipi kuifikisha Malaba, imeshindikana?Ngoja tuone ninahakika upigaji hautakosekana!
![]()
President Ruto to spend Sh100bn on new trains, SGR revamp
President William Ruto’s administration plans to hit Sh100 billion to revamp the Nairobi-Mombasa SGR line.www.businessdailyafrica.com
Mradi wa upigaji huu! Ukimsikiliza alivyokuwa anaikandia SGR utashangaa huu ununuzi wa rolling stock ni kwa ajili ya nchi anayoiongoza yeye!
Which industries are there?.Eldoret has grown as an agricultural and industrial hub in East Africa
View attachment 2619895View attachment 2619896View attachment 2619897View attachment 2619898View attachment 2619900View attachment 2619902View attachment 2619903View attachment 2619904View attachment 2619905View attachment 2619906View attachment 2619908