Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_3741.jpg

IMG_3740.jpg

A section of 251 KM from Babati to Dodoma . unyama mtupu
 
Mkuu, Kama ni kweli hayo aliyosema Membe, halikuwa sawa hata kidogo. Hivi hata ungekua wewe umefanyiwa hivyo, ungejisikiaje?.Hicho ni miongoni mwa vyeo vikubwa Sana duniani.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mwendazake alikuwa mtu wa parochial politics hakuwa na vision hata kidogo bali siasa za ukabila, chuki, kinyongo na kisasi! Pata picha Mkapa angekuwa na Roho ya Magufuli Kikwete asingekuwa Rais. Mkapa was very matured n had humility, he made sure Kikwete is a minister during his Presidency!
 
Katika upande huo wa personality hakuna ubishi kwamba alikua tabia yake ni "macho". Very authoritative and sometime humiliative and undeplomatic.

Haikuwa busara kutangaza hadharani kwamba alikuwa akiwatukana Kabudi na Isidori Mpango kwa kuwaita " wapumbavu",

Japo ninaelewa Kwanini alikua akiyafanya hayo, lakini hakupaswa kutangaza hadharani.

Ila hakuwa akibagua kabila, dini Wala mkoa, yeyote aliyeingia anga zake alikua akilipuka, hata ndani ya familia yake ilikua ni hivyo hivyo.

Magufuli alikua waziri kwa takribani miaka 20, uliza watu waliofanya naye kazi hata kabla ya kuwa rais, Magufuli hana ubaguzi hata kidogo, ila alikua hapendi mtu kuchallenge au kumbughudhi kwa lolote, alikua katili akikasirika, na mwenye upendo Sana akiwa "sober"(Bi polar character)

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mwendazake alikuwa mtu wa parochial politics hakuwa na vision hata kidogo bali siasa za ukabila, chuki, kinyongo na kisasi! Pata picha Mkapa angekuwa na Roho ya Magufuli Kikwete asingekuwa Rais. Mkapa was very matured n had humility, he made sure Kikwete is a minister during his Presidency!

Kikwete bila fitna alikuwa hawezi kuwa rais 2005, get your facts right. Membe na wana mtandao wengine walifanya mengi maovu huko usalama wa taifa kumchafua Dr Salim na kumpiga changa la macho Mkapa.

Dunia nzima ilitushangaa Watanzania, kwakua wote walitarajia Dr Salim Ahemd Salim kuwa rais wa Tanzania in 2005.

matatizo mengi ya ufisadi tulionao leo na yalio pita yametokana na mtandao wa Kikwete na group linalosumbua kwa rushwa na kutowajibishwa ni vijana wa mtandao wa Kikwete, refer kwa CAG report.

Keep an eye on South C. WESTLANDS should watch out. I have never seen a place develop so fast!!!
20230513_200328.jpg

20230513_200336.jpg
 
Hapana!

Ukweli usiopingika ni kwamba, huna vyanzo vya kupata taarifa nyeti, kwa hivyo ni vigumu sana kwako kutenganisha makapi na nafaka.

View attachment 2620648
Mkuu, nilijibu baada ya kusoma hizo tweets za mazungumza ya Bernard Membe na mwandishi wa habari, ndio sababu nikasema "Kama hayo aliyosema Membe ni kweli", basi Magufuli alikosea.

Mkuu, wengi wetu tunampenda Sana Magufuli, Ukiacha Nyerere, sidhani Kama Kuna rais wa kumlinganisha na Magufuli, sidhani Kama ndani ya kizazi chetu atatokea tena Kama yeye, lakini tukubali ukweli kwamba alikua na mapungufu makubwa Sana katika demokrasia na diplomasia.

Ni katika kipindi chake ambapo Tanzania ilishuka Sana katika "rank ya demokrasia duniani", tumeshuhudia katiba ikifinyangwa sana, watu wengi Sana wamepotea katika kipindi chake bila maelezo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
lakini tukubali ukweli kwamba alikua na mapungufu makubwa Sana katika demokrasia na diplomasia.

Ni katika kipindi chake ambapo Tanzania ilishuka Sana katika "rank ya demokrasia duniani", tumeshuhudia katiba ikifinyangwa sana, watu wengi Sana wamepotea katika kipindi chake bila maelezo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Ndio maana niliiweka very simple kuwa huna vyanzo vya info nyeti. Ila kiuhalisia ni kuwa, pia unamapungufu makubwa kwenye kuanalaiz mambo vyeti yanayoitaji umakini mpana.

Rank:
nani anapanga hizo ranks? those rating agencies ni za westerners ambao ukiparurana nao kudai haki yako wanapo kunyonya ndio shida. Ndio maana baada ya kujikomba huko na kuruhusu ufisadi, walikuja: Moody's in Tanzania to evaluate credit worthiness

Watu kupotea sio tija kwakua wanapotezwa na watu wanaopinga serikali kwa lengo la kuichafua serikali. Zitto alisema, "sasa tusifanye siasa zilizo pelekea kupigwa marufuku baada ya maridhiano na serikali ya Samia.
 
Back
Top Bottom