Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii plate number ya wapi??🤣🤣🤣
Screenshots_2023-05-13-21-11-36.png
 
Na kama ni kweli pia aliyoyasema mzee baba membe, we unadhani Magufuli aliamua tu kumkazia mwana pasi na sababu za msingi.?
Huyo membe hakuna haja ya kumjadili alikuwa mpigaji kama wapigaji wengine, alafu alikuwa anaongea pumba sana, hawezi kujieleza nilimsikiliza kipindi kile anaomba kura CCM za kuwa mgombea urais yn ni pumba tupu.
 
Mkuu, nilijibu baada ya kusoma hizo tweets za mazungumza ya Bernard Membe na mwandishi wa habari, ndio sababu nikasema "Kama hayo aliyosema Membe ni kweli", basi Magufuli alikosea.

Mkuu, wengi wetu tunampenda Sana Magufuli, Ukiacha Nyerere, sidhani Kama Kuna rais wa kumlinganisha na Magufuli, sidhani Kama ndani ya kizazi chetu atatokea tena Kama yeye, lakini tukubali ukweli kwamba alikua na mapungufu makubwa Sana katika demokrasia na diplomasia.

Ni katika kipindi chake ambapo Tanzania ilishuka Sana katika "rank ya demokrasia duniani", tumeshuhudia katiba ikifinyangwa sana, watu wengi Sana wamepotea katika kipindi chake bila maelezo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mimi sijawahi na sitokuja kumkubali huyo mtu wenu,I consider him a disaster kwenye maendeleo, welfare na utengamano wa kijamii..

Sasa nimeelewa Kwa nini Western Countries zilikuwa zinawawinda watu wote wenye mentality na misimamo ya Kijamaa..

Nyerere alipona Kwa sababu alijuwa kula na Wazungu ndio maana majaribionyote ya kumpindua alisaidiwa na hao hao Wazungu vinginevyo angetokomezwa kama kina Sankala,Lumumba and the likes..

Saizi naendelea kusoma upepo maana nimeshajionea kwamba Huwa inakuaje,the moments akitokea mwingine fasta ntahamisha rasilimali zangu Kwa jirani nisije kuingia hasara kama awamu Ile..

Kuna kampuni nyingi sana zilikimbia baada ya Mjamaa kushika hatamu,saizi wamerudi sababu ya Samia ila wakishika tena Dola mtaniambia si tupo hapa tuombe uzima..
 
Hii plate number ya wapi??🤣🤣🤣
View attachment 2620724
Photoshopping hamna timu Ukunyani ina bus kama hilo! Hata huo uwanja in the background!

Hata hili la Afc Leopard ni Photoshop pia! Angalia maandishi mbele chini ya Ingwe!
20230513_200108-jpg.2620748


Hamna timu ukunyani inaweza ku-afford serious bus!

Level yenu ni hii! Tuzo mbasssssi....👇 👇
Gor-Mahia-team-bus.jpg
 
Ndio maana niliiweka very simple kuwa huna vyanzo vya info nyeti. Ila kiuhalisia ni kuwa, pia unamapungufu makubwa kwenye kuanalaiz mambo vyeti yanayoitaji umakini mpana.

Rank:
nani anapanga hizo ranks? those rating agencies ni za westerners ambao ukiparurana nao kudai haki yako wanapo kunyonya ndio shida. Ndio maana baada ya kujikomba huko na kuruhusu ufisadi, walikuja: Moody's in Tanzania to evaluate credit worthiness

Watu kupotea sio tija kwakua wanapotezwa na watu wanaopinga serikali kwa lengo la kuichafua serikali. Zitto alisema, "sasa tusifanye siasa zilizo pelekea kupigwa marufuku baada ya maridhiano na serikali ya Samia.
Mkuu, hao hao unaowaita "westerners", ndio hao hao ambao data zao zilipokua zinasema Tanzania inafanya vizuri Sana kiuchumi duniani tulikua tunazikubali na kuziamini, waliposema Tanzania tumefanikiwa kuingia uchumi wa kati mapema kuliko tulivyotarajia kutokana na sera nzuri na usimamizi bora wa Magufuli, tulipiga vigelegele na kufurahi Sana.

Ndani ya kipindi chake, Tanzania ilipanda katika vipimo vya kupambana na Rushwa, matumizi bora ya pesa za serikali, uwajibikaji serikalini, uboreshaji wa huduma za kijamii na sera nzuri za madini.

Kwa ujumla, hoa unaowaita "Westerners", walisifia karibu maeneo yote isipokua demokrasia na haki za binadamu tu. Mkuu Kama kweli wewe upo vizuri katika kufanya "analytical thinking", huwezi kukubaliana na yale mazuri yanayosemwa na "westerners", lakini wanapotaja mapungufu unapinga.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, hao hao unaowaita "westerners", ndio hao hao ambao data zao zilipokua zinasema Tanzania inafanya vizuri Sana kiuchumi duniani tulikua tunazikubali na kuziamini, waliposema Tanzania tumefanikiwa kuingia uchumi wa kati mapema kuliko tulivyotarajia kutokana na sera nzuri na usimamizi bora wa Magufuli, tukipiga vigelegele na kufurahi Sana.

Ndani ya kipindi chake, Tanzania ilipanda katika vipimo vya kupambana na Rushwa, matumizi bora ya pesa za serikali, uwajibikaji serikalini, uboreshaji wa huduma za kijamii na sera nzuri za madini.

Kwa ujumla, hoa unaowaita "Westerners", walisifia karibu maeneo yote isipokua demokrasia na haki za binadamu tu. Mkuu Kama kweli wewe upo vizuri katika kufanya "analytical thinking", huwezi kukubaliana na yale mazuri yanayosemwa na "westerners", lakini wanapotaja mapungufu unapinga.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
ni kama wewe unapinga ukabila wa JPM na katumia zaidi ya $1 bln Chato!
 
ni kama wewe unapinga ukabila wa JPM na katumia zaidi ya $1 bln Chato!
Mkuu, Kama kweli alipendelea Chato, huo sio ukabila, huo ni ubinafsi au "Nepotism", kwasababu wasukuma wapo maeneo mengi, kwanini huko asipeleke upendeleo?.

Mkuu, Magufuli hakuwa mkabila hata kidogo, Hilo la kujenga Chato linaukweli Sana tu, lakini halina uhusiano na ukabila hata kidogo. Inawezekana tunatofautiana ktk "definition" ya ukabila.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom