joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hata Mimi nimeanza kunusa kahawaMradi wa upigaji huu! Ukimsikiliza alivyokuwa anaikandia SGR utashangaa huu ununuzi wa rolling stock ni kwa ajili ya nchi anayoiongoza yeye!
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
