Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Safi.
IMG_8016.jpg
 
Kwanini wakenya wanawaogopa wa Tanzania hivi siku hizi? What happened?

Halafu wanavyosemaga wana most skilled human capital in the region huwa wanamaanisha nini? 🤔

Skilled ndio majengo yabomoke kila saa?

Skilled ndio kuwa na potholes kila baada ya inches 7 barabarani?

Skilled wameshindwa kutackle njaa?

Screenshot_20230510-041410.jpg
Screenshot_20230510-041457.jpg
Screenshot_20230510-041544.jpg
 
Uzuri Terminal iko town, maeneo ya kupaki kibao, alafu pia sio LAZIMA kila mtu aje na gari binafsi kwenye train station, ndio maana unaona hapo terminal ipo linked na BRT. Bongo tunataka kuingia kwenye zama za kuacha kutegemea private cars for commuting, tunataka kuwa mabingwa wa effective public transport ukanda huu. Gari unaacha nyumbani lakini unasafiri kwa raha mustarehe.
Ni kweli ni vizuri kutumia hizo public transport.

Ningeshauri DART na LATRA wangekuja na mpango kama wa kwenye Mabasi ya mkoani Kwa kuweka madaraja ya usafiri kwenye BRT. Kuwe na special BRT yenye fair iliyo changamka kidogo (VIP) hapo watavuta wengi wenye private cars... Pick hour usafiri huo ni shida kidogo.
 
Back
Top Bottom