Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
The largest state house in Africa
Ni lazima watakubali.Hii inaitwa watake wasitake.
Uhalisia ni mdogo sana hapa!mara nyingi miradi mikubwa kama huanza na facts za Takwimu (Statistical Data), historical data za miaka at least kumi iliyopita idadi ya abiria uliowahudumia wa ndani na nje! Idadi ya miruko ya ndege na aina ya ndege zilizotua na kuruka, Idadi ya mizigo kwa tani,Peak Hours then mnafanya forecast and projections kwa miaka kadhaa mbele kuanzia hapo sasa ndo mnaeza anza kupata picha mnataka kiwanja chenu kiwe na capacity ya kiasi gani na hicho kiwanja kitatumika kwa miaka mingapi kabla ya kuendelezwa tena. Ni wastage of funds kwa maana, ukiachana na gharama za kukijenga kuna gharama ya kuki-maintain pia hapo ndo kimbembe!waste of money.
Kwa nchi kama rwanda, hela hiyo ingefanya makubwa kwenye sector muhimu zenye kuwagusa watu moja kwa moja.
Bajeti ya Rwanda sidhani kama nafika $2B, so ni obvious mradi huu kunamtu anaulipia halafu watalipa pesa ndefu kwa miaka zaidi ya 40, wakati ndani ya 10/15 years nchi kibao wanaweza fanya rinoveshen za nguvu za airport zao kubwa na kuzidi mradi huo kwa 300% jkwa uzuri.
Senseless!
DODOMA 👇.
Less than $800M wanaweza pata kiwanja cha ndege kikubwa cha nearly 15M capacity.Uhalisia ni mdogo sana hapa!mara nyingi miradi mikubwa kama huanza na facts za Takwimu (Statistical Data), historical data za miaka at least kumi iliyopita idadi ya abiria uliowahudumia wa ndani na nje! Idadi ya miruko ya ndege na aina ya ndege zilizotua na kuruka, Idadi ya mizigo kwa tani,Peak Hours then mnafanya forecast and projections kwa miaka kadhaa mbele kuanzia hapo sasa ndo naeza anza kupata picha mnataka kiwanja chenu kiwe na capacity ya kiasi gani na hicho kiwanja kitatumika kwa miaka mingapi kabla ya kuendelezwa tena. Ni wastage of funds kwa maana, ukiachana na gharama za kukijenga kuna gharama ya kuki-maintain pia hapo ndo kimbembe!
Unawazimu wa kichwa wewe sio bure 🤣🤣 hebu nenda uhesabu tena alaf rudi hapaIn Nairobi, looks like we lost the count. 30+ floor towers. Too many
View attachment 2613839
Maintaining;Less than $800M wanaweza pata kiwanja cha ndege kikubwa cha nearly 15M capacity.
Wanachofanya hapo, ni kuwa na kiwanja kizuri ajabu! Hela nyingi hapo inekwenda kwenye Mbwembwe za security na mapambo ya kwenda.