Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Namba za gari zenu mmefika lini XZD!
Maisha yenu ni full uongo uongo pumbav.

View attachment 2610362
ACHA KAMBA WWE APO SIO NAIROBI
So just because nimechanganya picha mnataka kuniua? 😂😂
Kuna wakati moja wenu alichanganya picha na kusema hapa ni Dar wakati hapo ni Nairobi. It happens bongolalas
13508977_13155350b1c6fa47603691587f752bdca56jpeg028491cc1792c4bf3fe2d6174fff54c8_jpeg_jpeg510...jpeg
 
Mm kila siku nawaambia hua munaona kama nawaonea vile kwenye maneno 100 ya mkenya yoyote duniani chukua moja na hilo moja uende ukalitafakari vzr na ukiondoka usigeuke nyuma hata sekunde

Halafu mbona unachukulia Poa hizo manispaa mzee. Hiyo ni miji yenye hadhi na watu wanaishi maisha mazuri ,
Hawana njaa kama huko cundustan , angalia mazingira ya iringa kwa mfano

Wa manispaa wataishije maisha mazuri kama wa Dar jiji kuu ndio wanaishi uswazi hovels?
 
Hizo manispaa zote umetaja zina stadia since 70s, and nowadays individual teams are building their own stadia.. you can mention whatever municipal you know

Pics
1. Iringa stadium /Samora Machel stadium ( uwanja wa Lipuli FC)
View attachment 2610230

2. Singida Namfua Stafium , used by Singida big star fc. Hakuna team Kunyaland inaweza fikia levels za Singida big star
View attachment 2610231

View attachment 2610232
View attachment 2610233

3. Songea - Majimaji Stadium (used by Majimaji FC)
View attachment 2610234

4. Sinyanga - Kambarage Stadium
View attachment 2610238

5. Kagera - Kaitaba Stadium , Used by Kagera Sugar
View attachment 2610240

6. Mtwara - Nangwanda Sijaona
View attachment 2610241

Tarime sio manispaa
Hapo nimeona tu uwanja moja. Hiyo ya Songea Maji maji. Hayo mengine ni vituko tu
 
Wewe bongolala your level of desperation is out of this world. I already gave you 2021 data which already shows we are miles ahead of you sasa scapegoat yako ni kutaka data ya 2022. What's so special about 2022 data bongolala? If we were ahead of you in 2021 despite Covid lockdowns ( while your country's economy was running coz there were no Covid restrictions) and everything, what makes you think you could be ahead of us in 2022 when our economy was already oppening up after Covid lockdown?

Narudia tena, it's stupid to even start imagining that Tanzania is more industrialized than Kenya. Wake up from that stupid dream before you wet your pants!
Wewe Wacha maneno mengi, tafadhali ninaomba link inayoonyesha thamani ya bidhaa za viwanda Kenya iliuza nchi za nje mwaka 2022, Mimi ninaweka za Tanzania hapa, Wacha kuokota picha za nchi zingine ukidanganya ni Kenya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hii inahusianaje na kuiwaza Kenya?, Wewe huna akili, hilo neno Kenya limejitokeza kwasababu hiyo imeandikwa katika "Kenya forum hapa JF. Hakuna media ya Tanzania inayoandika habari za Kenya, labda habari mbaya za njaa, mauaji na vurugu za kisiasa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Bongolala, sikuachana na anything. I just wanted to see how far you could go with this talk. Remember I told you data nikakupa? Here it is

In 2021, Kenya exported a total of $11.66b worth of goods

Out this, 30% ($3.498b) were manufactured goods

Sasa mtanganyika nataka unisikize kwa makini, hakuna siku giza na mchana zitawahi kutana. We are miles ahead of you kushinda humu ukitajataja Kenya kinywani mwako from morning to evening. Shugulika na nchi yenu fukara instead of wasting your time mentioning nchi ambayo imeshinda yenu by far. You still have a long way to go as Tanganyika to even start mentioning Kenya's name everytime.

Angalau ongezeni electricity consumption yenu kwanza ifike level yetu ndio uanze kuwa na ndoto kwamba your country is more industrialized than ours coz kipimo cha kwanza cha ustawi wa viwanda ni the amount of electricity you consume as a country coz industries run on electricity. Huwezi kuwa na viwanda vingi wakati consumption yako ya umeme ni kiduchu. Hope message umeipata
Ngoja nikupunguzie kazi, Kama umeshindwa kuleta data za manufactured goods za 2022, basi lete data za Exports zote za Kenya mwaka 2022, tulinganishe na Tanzania, tuone nani ni dume hapa EA, hizi hapa za Tanzania.
Wakenya wengine mnaweza kusaidia, lengo ni kutaka kujua nani ni kidume hapa mtaani.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Weka link Kama hii https://www.ippmedia.com/en/bu...orts-record-strong-growth-2022, Wacha ujinga wako wa kupiga kelele, ukiweka link yenye kuonyesha export za manufactured goods (Sio total Exports), tafadhali weka data za "only export of manufactured goods za 2022, tuone. Kumbuka kwamba your manufacturing sector grew by negative - 2.7 last year, hakuna kitu mlipeleka nje ya nchi, Kama unabishe weka tuone. Failed state ninyi hamuwezi shindana na Tanzania.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Isikose hata mwalimu wako alikuwa na muda ngumu sana nawe darasani. You must have been a dunderhead, no offense.

Nimekupa ripoti ya WB inayosema kwamba 30% of all goods that Kenya exported in 2021 were manufactured goods. Sasa huwezifanya hesabu rahisi ya kujua hiyo 30% represents what value/quanity? Wacha kuwa mbishi mjinga. Heri mtu awe mbishi lakini mwerevu
 
Wewe jinga kabisa, Mimi sitaki maneno. Hapa Afrika Ukiacha South Africa na Egypt, hakuna nchi yoyote ambayo manufactured goods inafikia 20% ya exports

Kenya's top export yake ni tea ambayo thamani yake ni $2.6B kwa huo mwaka 2021, Sisi huku ni Gold ambayo inakaribia $4B, Wacha kudanganya watu, wewe ni mwongo Sana, ndio sababu unashindwa kuonyesha "real figure", badala yake unatumia maneno matupu.

Sasa weka data za total value of exports za Kenya 2022, tulinganishe na Tanzania
Sikuachi hadi ukubali kwamba Tanzania ndio dume la mbegu

Hivi vitu viko nje ya uwezo wake mdogo wa kufikiri, aendelee kuiba picha za wenyewe.
 
Back
Top Bottom