NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,633
Yametimia 🤣Hatimaye dafu limefikia 16 tunaanza kuitafuta 15. The end of this year tutakuwa na 8
View attachment 2599187
Yametimia 🤣Hatimaye dafu limefikia 16 tunaanza kuitafuta 15. The end of this year tutakuwa na 8
View attachment 2599187
So GoK can't deal with them without intervention from GoT, really?. That is characteristic of failed state.Not my words bongolala. Ni taarifa ya serikali yenu kupitia mkuu wa wilaya ya Bariadi. Your beggars have invaded our streets. However much you deny this but it's the truth and I know it hurtsView attachment 2599216
Inaitwa lack of exposure. Tangu azaliwe ni hapo tu Tandale, hadi hawezi siku hata moja tembelea moja ya viwanda hapo Dar ajionee nini kinaendelea.🤣Hawa ni ujinga inawasumbua. Thick to the core!
Hivi Leo pia wewe umekubali wapo? Hehehee.🤣So GoK can't deal with them without intervention from GoT, really?. That is characteristic of failed state.
Representing Africa indeed
Wana trend kwa vitu vya kipuuzi.
Nimeona video mmama akimshindilia visu mtoto wake.
Cheki hii, afya ya akili ni changamoto kubwa miaka hii.
Kenya is an example of everything bad in this worldWana trend kwa vitu vya kipuuzi.
Nimeona video mmama akimshindilia visu mtoto wake.
Cheki hii, afya ya akili ni changamoto kubwa miaka hii.
Kwaivo tatizo la akili lipo kenya tu. Mambo kama haya hayafanyiki Tanzania kamwe?Wana trend kwa vitu vya kipuuzi.
Nimeona video mmama akimshindilia visu mtoto wake.
Cheki hii, afya ya akili ni changamoto kubwa miaka hii.
Siku zote nimekua nikiwaambia muwarudishe Wacha kujitie uchizi. Nilishasema huku kwetu begging is illegal by law that's why they are looking for safe place like KenyaHivi Leo pia wewe umekubali wapo? Hehehee.[emoji1787]
Wana trend kwa vitu vya kipuuzi.
Nimeona video mmama akimshindilia visu mtoto wake.
Cheki hii, afya ya akili ni changamoto kubwa miaka hii.
Wana trend kwa vitu vya kipuuzi.
Nimeona video mmama akimshindilia visu mtoto wake.
Cheki hii, afya ya akili ni changamoto kubwa miaka hii.
Kwaivo tatizo la akili lipo kenya tu. Mambo kama haya hayafanyiki Tanzania kamwe?
Jamiiforum imejaa wajinga
Matokeo ya nchi kuwa kwenye njaa mode ndo haya. Akili lazima ziwaruke
Wakenya mliopo humu, tafadharin sana.. muende shamban mkalime.. msije akaanza kurusha picha zenu naked humu mtakaporukwa na akili kisa njaa
The thing is, they are Tanzanians begging in Kenya. That's the fact you don't want to agree withSiku zote nimekua nikiwaambia muwarudishe Wacha kujitie uchizi. Nilishasema huku kwetu begging is illegal by law that's why they are looking for safe place like Kenya
Uliposema tunatrend kwenye mambo ya kipuuzi ulimaanisha nini? Kwani Tanzania taarifa kama hizo hazipo?Endelea kuleta mashindano kwenye kila kitu.
Wapi nimeandika kenya ndo kuna matatizo ya akili tu?
No wonder mna trend Kwenye mambo ya kipuuzi.