ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Wakunya wamekubali Tanzania ni level zingine.
Usidharau ligi zote ni ngumu sana hata simba mwaka jana alikuwepo federation na akaishia robo so usibeze kote nikugumu sana tuombe Mungu walau team mmoja ifike hata fainali iwe historia kwa nchi yetu🇹🇿 itakua jambo jema sana kwenye historia ya football na mwakani kwa uwezo wa Mungu tunaingiza team nne ambazo zinaweza kufanya vzr zaidi 👏👏👏Huo ndio ukweli wapinzani wa Simba ni hawa Wydad, Mamelodi Al Ahyl, Esperance, Raja etc sasa compare na wapinzani wa Uto ambao ni Rivers united, Amazulu, Asec Mimosa etc nadhani utakuwa umepata picha nzuri kuhusu hili lidude likuuuuubwaaaa![]()
You know what you have just did? Umetoa bonge la business idea kwa tour operators, imagine kwenda Zanzibar tokea Kenya na Uganda ukipitia Mwanza with fancy fancy transport vessels and systems……..Nawaona jamaa zetu wakijaa pomoni kuja kushangaa.Hii wakenya wakiisanukia ni hatari, sababu watapanda hiyo world class ship kutoka Kisumu wakifika Mwanza watapanda world class bullet train kwenda Dar wakifika Dar watakutana na world class speed boat ya azam kwenda zanzibar wakifika zanzibar watakutana na world class latest ATCL aircrafts ziwarudishe kwao
Watanzania tutawapuna mpaka cent ya mwisho na miundombinu ya world class na wanavyoishobokea Tanzania hapa hawapindui 😂😂😂
expedition companies za Tanzania zikikaa vizuri tuna potential kubwa sana kwenye hii miundombinu inayojengwa nchi nzima kwa regional markets achana na wazungu