tz wakati huu kwenye ujenzi wa barabara hakuna ubabaisha MWAMBA MAGU kipindi chake aliwafungua akili viongozi wa leo sasa ni lazima wavae viatu vyake ingawa bado haviwatoshi
kuna ma haters wa magu watakuja nipinga lakini ukweli lazima usemwe ......
before magu barabara zilikuwa zikimalizika kujengwa tu ndani ya wweek mbili mvua ikinyesha tuu yaani ni vurugu tupu mashimo kila kona kama zile barabara za kenya alfu zinakuwa zimepaukaaa na lea yake ni nyembamba kama kiwembe au kama za wakunya au wakundustani


