Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

meanwhile...
58f634ebecdbd995eb091dfdff5c6cdd.jpg
cbee0e38a59b97ae937db5546228d728.jpg

ma-jobless ya kikenya yanamezea mate na kutoa macho kodoooooo..
 
Stupid kenyan. Mpaka lini mtaendelea na akili hizi za utumwa? kwa hali hii "Kenya needs new liberation"
SASA MATUZI NI YA NINI? INGEKUWA BORA MKIELEWA YA KWAMBA HAMTAWAITUPATA..TZ IKO MIAKA 20 NYUMA YA KENYA.
 
ZILE VITU WAKENYA HUENDEA TANZANIA NI MADAWA ZA UGANGA
TU...😀😀😀😀..JU HIO SEKTA MUMEIVA..MAENDELEO MTUACHIE, SISI NDIO WENYEWE
 
NI KUZIMA POROJO..HAKUNA SIKU MTATUPATA SISI..
Wewe kwa sababu ni mgeni tunakuacha kwanza umalize kukurupuka, kisha tukupe kanuni za huku jamaa forum,
1)Hatutaki utueletee habari za ukabila humu ndani,
2)Hatutaki matusi
3)Kila unalolizungumza lazima uambatanishe na ushahidi, sio kutuletea habari za kufikirika

Karibu sana
 
ZILE PAGES ZA MBELE MBELE..YAANI HATA HUKUMBUKI ULISEMA HIVO? NOWONDER WAKENYA WAMEACHA KU POST KWA HII FORUM...
leta screenshot.... au link.

NB:
siamini kama wakenya wameacha kupost picha kwa thread hii.

ninachojua wengi wao wanaona aibu kurudia kupost picha zile zile kila siku.

wa naona aibu ku-reupload picha za magorofa ya CBD,picha za flyovers na highways.kiufupi wameishiwa picha.
 
Wewe kwa sababu ni mgeni tunakuacha kwanza umalize kukurupuka, kisha tukupe kanuni za huku jamaa forum,
1)Hatutaki utueletee habari za ukabila humu ndani,
2)Hatutaki matusi
3)Kila unalolizungumza lazima uambatanishe na ushahidi, sio kutuletea habari za kufikirika

Karibu sana
UKABILA GANI?USHAHIDI GANI? HAKUNA MTU HAJUI KENYA IS THE TOP MOST COUNTRY IN EAST AFRICA NA SIHITAJI KWENDA MTANDAONI KU DOWNLOAD PICHA KA NYINYI. MNAJUA HIVO NA NDIO MAANA MNAWASHAWASHWA!
 
leta screenshot.... au link.

NB:
siamini kama wakenya wameacha kupost picha kwa thread hii.

ninachojua wengi wao wanaona aibu kurudia kupost picha zile zile kila siku.

wa naona aibu ku-reupload picha za magorofa ya CBD,picha za flyovers na highways.kiufupi wameishiwa picha.
VILE NILISEMA MBELENI NYINYI NI MDOMO TU MNAJUA KUPIGA HAPA.MTU AKICHELEWA KU POST KITU MNASEMA ATI AMETOROKA..YANI HAMWEZI SHUT UP
 
Back
Top Bottom