Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi ndiyo wa kwanza EA kuwa na hiyo kitu.
Eti wa kwanza 🀣 🀣 🀣 🀣 Kenya used to have toll roads in the 80's. Yani hii issue ya kuja Kenya kubenchmark on PPP's mumeigeuza ikawa battle ya toll roads. Munakuanga na ushamba sana.

 
We sio jeshi wala huna cheo yeyote kwa jeshi.
 
Aliyegeuza ni mjinga mwenzako sliyekataa kwamba Kigamboni bridge sio toll roads baada ya kumuambia kwamba huku Tanzania tulianza kuwa na huo mpango wa PPP kwa barabara kwa zaidi ya miaka 7 Sasa, tunawashangaa hao watanzania walikuja kujifunza huko kwenu.
 
Akili kubwa ulinzi na ujenzi vinaingilianaje? TANROADS wamekuwa jeshi sasa? Plse stop what u r smocking una-sound akili ya ugoro sasa!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama mbele aisee
 
Hiki kituo cha BRT pemben ya SGR Station nadhan wanaweka design ya bullet train.. The best 007 anaita joka 🐍
Ngoja nisubir nione itakapomalizika
View attachment 2595144
tunawaza sawa, πŸ˜… ila wangeweka nakshi za Tanzanite πŸ’Ž ingenoga zaidi kuleta resemblance na terminal lakini nimewaza pia huenda ndio design ya phase 3 sababu naona kila phase ina design tofauti ya stations
 
Hii barabara ina lami. Kutoka Nairobi hadi South Sudan border barabara yote ina lami, nchi zote ambazo zina border Kenya zikona barabara ya lami from Nairobi. Ni Somalia tu imebaki, iko under construction.
mmejenga lini wakati hii ni habari ya 2022 na hela hamna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…