Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Matomaso wa humu ndani ni die hards hawakubali chochote hata wakiona kwa macho yao bali wamekalia propaganda za kizamani tuu.

Screenshot_20230421-095348_Opera.jpg
 
Tanzania has TPDF soldiers in DRC under MONUSCO which is a UN coordibated peace keeping force hence no need of sending another troops to DRC.

We are also wise enough not to risk our solders lives by placing them under Kenysn commanders because we know about KDF weak and outdated modus operandi.
You are not a soldier, wewe ni mdomo tu unapiga hapa Jamii Forums.

Image

Image
 
You are not a soldier, wewe ni mdomo tu unapiga hapa Jamii Forums.

Image

Image
Tanzania hatujachangia chochote katika kikosi Cha EAC huko DRC, hizi picha ni wakati wa mazungumzo ya makamanda wa majeshi ya nchi zote za EAC yaliyofanyika Kenya, lakini hadi leo hakuna mwanajeshi wa Tanzania hata mmoja aliyekwenda DRC kuungana na wanajeshi wa nchi za EAC, hadi Sasa ni Tanzania na Rwanda tu ambao hawajapeleka jeshi lake DRC ktk kikosi Cha EAC.
 
Kaka nasikia kunyan airways wanataka ushirikiano na ATCL,hii ni kweli?
KQ ndio wamekuja kuomba hilo, lengo lao kuu wanataka kuitumia ndege yetu ya mizigo Ili kuisafirisha mizigo yao, Kenya hawana cargo plane, huu ni mtego kwa ATCL lazima wawe makini.

Hivi Sasa JKIA inapata pesa nyingi kutokana na biashara ya "Air cargo", endapo hiyo mizigo itahamishiwa Tanzania kutokana na uharaka na bei nafuu ya kuisafirisha na hii ndege yetu ya Cargo, itakua ni pigo kubwa Sana kwa KQ na JKIA, ndio sababu wamekuja kuomba hii ndege yetu iweze kupitia JKIA kubeba mizigo yao.

Swali la kujiuliza,; kwanini hawakuja kuomba ushirikiano wa ndege za abiria za ATCL kwenda Kenya, lakini waliposikia kwamba tumenunua "Cargo plane" hata kabla haijafika wamekuja kuomba ushirikiano?

Note: If your enermy tries to come close to you, you must run away very fast
 
Back
Top Bottom