Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee huku hakukufai, akili yako ni ndogo sana, lakini nitakufundisha baadhi ya mambo tunayoangalia ili kujua hiyo nchi inamaendeleo kiasi gani na ubora wa maisha ukoje katika nchi husika
1) Uwezo wa wananchi kukidhi/kupata mahitaji ya msingi- hili linapimwa kwa kutumia kiwango cha wananchi wanaoshinwa kufikia uwezo huo(Population below poverty line, by 2016 Kenya 43%; Tanzania 28%)
huyo mkora sio wa kutumia akili nyingi kumjibu mkuu....ni kucheza tu akili yake ndogo...niachieni mimi.
 
GO PRODUCE THE SECOND AFRCAN AMERICAN PRESIDENT OF THE USA AND MAYBE THEN WE CAN ARGUE
Hivi huku ulifuata nini?, huku sio level yako hakukufai kabisa,wewe bado una mawazo ya kitoto sana, rudi kule kwenye forum ya Kiliman dads and mums ndiyo kunakufaa zaidi
 
welcome to the fraternity Sir...lets show these idiots that we are not on their level...and can never be
hahaha...you have been here since the first day this thread was created but yet you haven't showed anything new to beat us....
 
ANZA NDUGU

meanwhile
58f1053e221f77625a4d35db5c347612.jpg
bc4d57c91b5754e39e43f3b4956f61c5.jpg
 
huyo mkora sio wa kutumia akili nyingi kumjibu mkuu....ni kucheza tu akili yake ndogo...niachieni mimi.
Asante kwa kunisaidia, ngoja niachane nae atanipotezea muda wangu, ngoja tusubiri watu wenye akili, huyu tuachane nae
Aisee huku hakukufai, akili yako ni ndogo sana, lakini nitakufundisha baadhi ya mambo tunayoangalia ili kujua hiyo nchi inamaendeleo kiasi gani na ubora wa maisha ukoje katika nchi husika
1) Uwezo wa wananchi kukidhi/kupata mahitaji ya msingi- hili linapimwa kwa kutumia kiwango cha wananchi wanaoshinwa kufikia uwezo huo(Population below poverty line, by 2016 Kenya 43%; Tanzania 28%)
 
MI NILIKUAMBIA HIZI SHIDA ZINAKUJA KUWAPATA SIKU ZA USONI NI VILE SAA HII BADO NYINYI HAMJAAMKA.SISI PIA TULIKUWA KAMA NYINYI. TULIKUWA CHINI YA CHAMA TAWALA KANU HALAFU TUKAJA TUKAIONDOA.LEO HII NYINYI BADO TU MNATAWALIWA NA CCM BADO HAMFUNGUKI MACHO.PILI, WAKATI SISI TUNAPANGA KUWA A FIRST WORLD COUNTRY, NYINYI MNASEMA OOH ATI DAR SIJUI IKO NA HOTELI NGAPI.UNAONA?HATA YOUR THINKING IKO TU NYUMA SANA.
 
IKIWA SASA NDIO MNAFIKIRIA MAMBO YA MIJI WAKATI SISI TUNAJIPANGA KUWA A FIRST WORLD COUNTRY, MTAWAHI TUPATA WAPI?
Do you hear urself? Joshua ur capital letters are boring, no anyone' s who is suffering from presbyopia ....
welcome to the fraternity Sir...lets show these idiots that we are not on their level...and can never be
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom