Medical Tourism is taking shape
Nani kasema ndege Iko AustraliaNdege ilifuata nini huko Australia, hizi kqmpuni za matapeli wa bongo hapa hapa. Afrika tunakosa transparency and accountability kwa viongozi matokeo yake wanaiba mfuko wa shati wanaweka mfuko wa suruali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kwa serikali Afya ni huduma ya msingi Kama chakula, maji, elimu, umeme na makazi, ukivifanya viwe ni ghali(commercial) vinasababisha kupanda kwa gharama za maisha.This is really good .
Kuwe tu na mazingira rafiki kuwavutia wa practice hapa, vinginevyo wengine wanaweza wasirudi kabisa nchini.
Rémunérations za super-specialists tz zipo chini sana, quite unfair Hasa ukiangalai safari ya shule mtu hadi afikie level hiyo, miaka mingi sana inapotea on the journey, wewe leo uje umlipe sijui milioni 2, No way.
Unakuta kuna mtu mwingine amesoma sijui sociology yupo huko nssf anakula mshahara Sawa na Cardiology surgeon,
No way. Hili Lina haja ya kuangaliwa.
In fact suala la Elimu na afya inafaa siasa zikae pembeni.
Sina mda wa kuleta video za viwanda it's well known kwamba Mbeya ni giants wa viwanda eg cement,soft and Spirit drinks, viwanda vya bidhaa za nyumbani kama Magodoro,viungo nk ukienda Sokoni tafuta tea/pilau masala kutoka Mbeya uta enjoy,viwanda vya bidhaa za ujenzi kama mabati,vigae nk..
Tuna utitiri wa miradi mikubwa na midogo. But Hii hapa itakuwa game changer mtakuwa mnakuja kupiga picha na wenzako 😁😁
1 .Dual Carriage Road kama Sam Nujoma ,Tanga will keep on dreaming
2.Mradi wa Maji safi,hutokuja sikia Jiji la Mbeya Lina shida Kwa miaka 20 baada ya mradi Kukamilika.
Hizo ni hadithi ulizomezeshwa na wajinga wenzako.Kweli we ni juha 🤣🤣 no wonder wanasema wewe sio mtanzania.. as I'm talking to you right now there are several kms of paved roads U/C in Tanga... Industries, bus terminus, hoima pipeline, Port expansion, schools, 500 metter brigde across pangani river, Tanga-Dar road via Pangani (tutakua na njia mbili za kufika DAR) .. hizo barabara za lami kwa city center Tanga mpinzani wake labda DAR tu na Mwanza kwasasa .. Tanga Ina barabara nyingi za lami kwenye mitaa kuliko mji wowote Kando ya DAR na Mwanza.. 21 streets numbers all are paved .. hiyo mitaa mengine je.?
Kweli we jamaa ni kichaa, unaniletea matokeo ya research 🤣🤣 me nikajua ni mradi upo U/C or something..Sama boy 255
University of Dar es Salaam-
www.udsm.ac.tz
![]()
Tanzanian firm eyes share of $10.36 billion global carbon dioxide market
Simba Gas, is eying a share of the global market of the product, currently valued at $10.36 billion..www.thecitizen.co.tz
Mbeya Haina potential 😁😁😁.
Hapana Mimi ni Mkundustan 😁😁🤣🤣🤣 Mbeya ishindane na Tanga kwa viwanda.? 🤣🤣🤣 Wewe ni mtanzania.?
Hizo ni hadithi ulizomezeshwa na wajinga wenzako.
Kwa taarifa Yako Dodoma ndio Jiji lenye mtandao mkubwa Barabara za Mitaa ndio Dar inafuata hii ni baada ya km 52 za Mji wa Serikali kukamilika hapo Bado Ring road..
Hako kakijiji chako Cha Tanga hakako hata kwenye hesabu na attention na yeyote,hicho unachoita mtandao mkubwa wa Barabara ni Kwa sababu is a mini town just like Iringa ila outside hapo Mjini hamna kitu.
Kama sio kujistukia ni nini ,kuwa na second alternative to Dar how significance is to Tanga? It doesn't make sense na Wala sioni upekee hasa hapo ni upi?
Kama Tanga nzima mnategemea hiyo Barabara ndio mradi mkubwa basi mko nyuma sana na hapa kujitutumua,
-Mbeya Ina Igawa-Mbeya-Songwe Dual Carriage Road under construction,
-Mbeya/Isyonje-Kitulo-Makete under construction,
-Makongolos-Rungwa-Singida/Tabora under construction,
-Kajunjumile-Mbando km 32 Iko under construction
,
Streets Roads under construction ni TanRoads km 5, Tarura/Mbeya City wanajenga km 6 na lastly Tactic km 25 ,hapa ni over 30km.
On top of that Kuna
-Mbeya bypass 40km(Uyole-Songwe) design review ,
-Iwambi Bypass 20km(Iwambi-Mbalizi)design review
Harafu anatokea mtu huko kwenye Kijiji Cha Wavivi Cha Tanga eti anajitutumua kujilinganisha na Mbeya 😁😁
We jinga kweli 😁😁 ,si ulisema hakuna potential au umebadili gia angani na kutafuta pa kujifichia? 😁😁Kweli we jamaa ni kichaa, unaniletea matokeo ya research 🤣🤣 me nikajua ni mradi upo U/C or something..
Hapana Mimi ni Mkundustan 😁😁
Kwani Hutaki au? Unadhani kuwa 3rd in GDP inatokana na nini Sasa bwashee?
Endelea kukariri ujinga mliomezeshana hivyo hivyo
Mimi ni kama maji usiponinywa utaoga 🤣🤣No wonder wanakupuuza humu ndani 🤣🤣🤣
Unajua kama Tanga kuna mradi wa bomba la mafuta U/C .?We jinga kweli 😁😁 ,si ulisema hakuna potential au umebadili gia angani na kutafuta pa kujifichia? 😁😁
Kwa taarifa Yako mradi wa Kiejo-Mbaka Geothermal Iko under construction ila Kwa kuwa hujui ndio maana unahemka na kutoa majicho kama mjusi 🤣🤣
Watu wapo serious ,Kila nchi inajijenga kwa kasi ila hawa jamaa naona kama wamepania zaidiAround one of the new cities being built in Egypt. This is the financial district
Still wonder how Egypt was able to attract such investments
Niweke mara ngapi? Leta kiwanda Cha spirit kama hicho hapo Tanga🤣🤣🤣 Let's make the long story short, weka viwonder vya mbeya nikuonyeshe TZ's big brands from TA




Weka viwonder vyote vya mbeya nikuonyeshe TZ's big brands from TA ..Niweke mara ngapi? Leta kiwanda Cha spirit kama hicho hapo Tanga