Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We came, we saw, we conquered.

Image
 
ChoiceVariable bila kusahau Tanga ndio mkoa unahudumia mafuta ya petroleum mikoa yote ya kaskizini zikiwemo
1.Arusha
2.Kilimanjaro
3.Manyara

Kupitia hii facity ya GBP 👇
MATENKI-YA-KUHIFADHI-MAFUTA.jpg
nakuwekea na picha za google earth Ili uone vile ilivyokubwa 👇
Screenshot_20230419-105212_1.jpg

JPM alikuepo siku ya uzinduzi 👇
jp15.JPG
 
Sama boy 255

Ukiacha Maonesho ya 8/8 Mbeya inafanya maonyesho ya Madini Kila mwaka pale Chunya na Sasa maonesho ya biashara na Viwanda ya Kimataifa.

Kijiji Cha Tanga Huwa mnafanya Expo gani?
 
ChoiceVariable bila kusahau Tanga ndio mkoa unahudumia mafuta ya petroleum mikoa yote ya kaskizini zikiwemo
1.Arusha
2.Kilimanjaro
3.Manyara

Kupitia hii facity ya GBP 👇View attachment 2592804nakuwekea na picha za google earth Ili uone vile ilivyokubwa 👇View attachment 2592805
JPM alikuepo siku ya uzinduzi 👇View attachment 2592807
Yaani wewe Sama boy 255 boy ni mshamba na wa kuja sana.

Nimeshakwambia inachofanya Tanga Sasa hivi Mbeya ilishapita huko kitambo ndio maana yakuwa na GDP ya 9T na Tanga mko mkiani Kwa maskini wenzenu..

Unalisha Mikoa wakati Malawi wanachukulia mafuta Dry port ya Mbeya,Yale matanki makubwa pale Iyunga Viwandani yanatunza mafuta ya Malawi sio mkojo wako 🤪🤪
 
ChoiceVariable hii fence hauwezi kwea bro .. Tanga ni kitu kingine kabisa..

9. Kiwanda cha kutengeneza vifungashio Tanga 👇.

10. Kiwanda cha kutengeneza Smart card Tanga (Tz kipo kimoja tu) 👇.

Vipi uko pumzi ipo.? 🤣🤣🤣
 
Yaani wewe Sama boy 255 boy ni mshamba na wa kuja sana.

Nimeshakwambia inachofanya Tanga Sasa hivi Mbeya ilishapita huko kitambo ndio maana yakuwa na GDP ya 9T na Tanga mko mkiani Kwa maskini wenzenu..

Unalisha Mikoa wakati Malawi wanachukulia mafuta Dry port ya Mbeya,Yale matanki makubwa pale Iyunga Viwandani yanatunza mafuta ya Malawi sio mkojo wako 🤪🤪
Wacha kuwa mpumbavu na ego mzee. Kubali kushindwa Tanga imekua announced kama City 2005 uko how about Mbeya.? Ambayo imetangazwa city na it doesn't deserve a city status.?
 
Wacha kuwa mpumbavu na ego mzee. Kubali kushindwa Tanga imekua announced kama City 2005 uko how about Mbeya.? Ambayo imetangazwa city na it doesn't deserve a city status.?
We choko wa Tanga,hakuna kitu Tanga itaizidi Mbeya never

Kiwanda Cha Mitambo CMG Investments
 
Back
Top Bottom