President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Sama boy 255 huyo jamaa kichwa chake hakipo sawa. Wewe unaweka viwanda yeye anaweka v wonder.
🤣 🤣 🤣 🤣
🤣 🤣 🤣 🤣
🤣🤣🤣 Mwamba ni kichwa mchungaSama boy 255 huyo jamaa kichwa chake hakipo sawa. Wewe unaweka viwanda yeye anaweka v wonder.
🤣 🤣 🤣 🤣
Wacha utani bro hizi ni takataka 🚮 sio viwanda labda useme ni viwonder 🤣 🤣🤣
🤣🤣🤣 Mwamba ni kichwa mchunga
Hadi Sasa hujanipa jina la kuviita ,seems kichwani Kuna uji 😂😂Sama boy 255 huyo jamaa kichwa chake hakipo sawa. Wewe unaweka viwanda yeye anaweka v wonder.
🤣 🤣 🤣 🤣
Hebu umwambie hata Tanganyika imetokana na Tanga Nyika yaani huku kote ni nyika za Tanga.🤣🤣🤣 Mwamba ni kichwa mchunga
Birds strike is not a common phenomenal at JKIA. That was a secluded case. Ingekuwa ni tatizo la kila siku hapo ungekuwa na point. Otherwise, it's hot air!JKIA should install birds radar n other birds protection systems!
Waaah noma sana, huku ni wapi boss?It is now becoming a common sight in Kenyan villages.
View attachment 2592634
View attachment 2592632
Mchizi haijui Tz anaforce vitu 🤣🤣🤣 ndio mana jamaa wanasema sio mbongo .. Mbeya haifikii Tanga kivyovyote, hata akitaka battle ya wanawake wazuri pia nitamkalisha..Hebu umwambie hata Tanganyika imetokana na Tanga Nyika yaani huku kote ni nyika za Tanga.
Huyo jamaa hajui kitu. Lakini anajitutumua, hawa wanafaa sana kuwatanguliza mbele kwenye vita. Yupo vizuri anasimamia anachokiamini
Mbeya ni sehemu ya mashamba tu. Hata hivyo hata Tanga kilimo kipo juu.Mchizi haijui Tz anaforce vitu 🤣🤣🤣 ndio mana jamaa wanasema sio mbongo .. Mbeya haifikii Tanga kivyovyote, hata akitaka battle ya wanawake wazuri pia nitamkalisha..
Kaka nakwambiaje akitaka battle yoyote huyo msela Mavi nitamkalisha kwasababu hakuna aina ya kilimo ambacho utakosa ndani ya Tanga ..Mbeya ni sehemu ya mashamba tu. Hata hivyo hata Tanga kilimo kipo juu.
5. Okaz supermarket barabara ya SitaOrodha ya Supermarket in Tanga. Kwa uchache kwanza.
- S.D. Supermarket nasco
- Mkwabi Supermarket
- Central Supermarket
- ABSAD SUPERMARKET
Hivi nyie ni Watanzania kweli? Mnaelewa mnachoongea lakini? Mna Google earth Kwa nini hamuangalii ramani?Airport ya mkoa wa songwe leo imehamishiwa mbeya.? 🤣🤣🤣