Kweli we ni juha 🤣🤣 no wonder wanasema wewe sio mtanzania.. as I'm talking to you right now there are several kms of paved roads U/C in Tanga... Industries, bus terminus, hoima pipeline, Port expansion, schools, 500 metter brigde across pangani river, Tanga-Dar road via Pangani (tutakua na njia mbili za kufika DAR) .. hizo barabara za lami kwa city center Tanga mpinzani wake labda DAR tu na Mwanza kwasasa .. Tanga Ina barabara nyingi za lami kwenye mitaa kuliko mji wowote Kando ya DAR na Mwanza.. 21 streets numbers all are paved .. hiyo mitaa mengine je.?