Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Whats organized there? Ama kuweka picha ya kibera slum ndo inafanya iwe organized?
 
Unajua kama Tanga kuna mradi wa bomba la mafuta U/C .?
Huu ni utoto,unapiga kelele za mabomba, Mbeya ilishapita hiyo stage kitambo.Inashangaza Hilo Bomba linajengwa Tanga pekee? Punguza ujinga basi.

Wewe choko wa Tanga unajua kwamba Vituo vikubwa vya heating,pumping na maintainance facility za Bomba la TAZAMA kipo Dar,Mbeya na Ndola?

Sasa hivi kinataka kuwa converted lisafirishe diesel badala ya crude oil
Screenshot_20230418-204305.jpg
 
Naona uzoefu wa sekta za Madini Watanzania Sasa wameshabobea..

Leo kwenye kutia saizi za framework Agreements za Miradi ya Madini zaidi ya 1.5T.

-Tuna share 16% Kupitia kampuni za Ubia zilizoundwa ,shares ni non-dilutable(Ni Tanzania pekee hapa Afrika imefikia status hii),na zinaweza ongezeka
-Tuna share za 47,51 za Economic benefits
-Kwa mradi wa Rare Earth elements wawekezaji wanatakiwa kujenga Kiwanda Cha refinery hapa hapa Tanzania,
-CSR kama kawaida hususani za kwenye miradi ya Maji,Afya,Barabara nl,
-Local contents as usual na hapa kwenye Management za Juu za Kampuni tanzu..
-Kwa mfano kwenye Rare Earth elements initial prospective investment ni dola mil.439 plus,zaidi ya Bil.900 huku Serikali ikitarajia kuvuna zaidi ya Til.11 over the Project Life time.

Kazi nzuri wamefanya hapa Timu ya Majadiliano inayoongozwa na Prof.Kabudi.
Ukituliza kichwa akili unazo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Huu ni utoto,unapiga kelele za mabomba, Mbeya ilishapita hiyo stage kitambo.Inashangaza Hilo Bomba linajengwa Tanga pekee? Punguza ujinga basi.

Wewe choko wa Tanga unajua kwamba Vituo vikubwa vya heating,pumping na maintainance facility za Bomba la TAZAMA kipo Dar,Mbeya na Ndola?

Sasa hivi kinataka kuwa converted lisafirishe diesel badala ya crude oil View attachment 2592732
🤣🤣🤣 Nilikua sijaiona hii .. no wonder wanakupuuza humu ndani
 
🤣🤣🤣Aisee wewe jamaa ni zuzu.. heb maliza viwonder 🤣🤣 vyako kwanza halafu nikuonyeshe vile viwanda vinafaa kuwa
Umeshakiri mapema hakuna viwanda vya maana huko Tanga Nitakuwa nakuonea Bure ,Rudi kule kwenye tugorofa twa Waarabu walau unaweza jifariji 😂😂😂😂

 
This is really good .
Kuwe tu na mazingira rafiki kuwavutia wa practice hapa, vinginevyo wengine wanaweza wasirudi kabisa nchini.
Rémunérations za super-specialists tz zipo chini sana, quite unfair Hasa ukiangalai safari ya shule mtu hadi afikie level hiyo, miaka mingi sana inapotea on the journey, wewe leo uje umlipe sijui milioni 2, No way.
Unakuta kuna mtu mwingine amesoma sijui sociology yupo huko nssf anakula mshahara Sawa na Cardiology surgeon,
No way. Hili Lina haja ya kuangaliwa.
In fact suala la Elimu na afya inafaa siasa zikae pembeni.
Kweli kabisa. Salary ndogo sana
 
Ila Kibera ndio sehemu mbaya zaidi kuishi Africa Mashariki
That slum is too much
Kwaivo point yako haikuwa ruangwa ni more organized kuliko Nairobi bali kibera ndo sehemu mbaya zaidi kuishi? Kwa hivyo ndo maeneo ya Tanzania yaonekane yameendelea, lazima yalinganishwe na sehemu mbaya zaidi kenya
 
Back
Top Bottom