ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,254
Kwa hiyo ukachagua picha ya Tanga uka zoom na ya Mbeya hujazoom..Tanga uswaziView attachment 2591087vs Mbeya City center 👇View attachment 2591088.. ChoiceVariable. Kaa kwa kutulia.. mbeya ni kijiji tu mbele ya Tanga
Huwa mnawaambia Wakunya wazoom uswazi wa Dar,haya na wewe zoom hiyo picha ya Mbeya miaka gani sijui..
Mbeya ya uswazi