Unajua kuna Vitu mjiongeze Mtu Mmesha Mjua Haijui Tanzania Vyema
Wala Hajaitembelea Tanzania au Miji ya Tanzania na Kuijua
Kwenye mada Hii Mtaharibu
Nendeni mkaanzishe Hiyo Mada Mtapata Kuona Ukweli wa wengine zaidi yenu
Na Ukweli huo nikuwa Mbeya Bado sana kwa Tanga
Mbeya Kiukweli Ilipewa Jiji lakini ni Aibu
Mbeya Hata Morogoro Ipo Vyema sana.
NB; Maoni haya ni Kwa wanao Ijua Miji ya Tanzania
Toa ujinga wako hapa wewe, unadhani kinachoamua kuwa Jiji ni mdomo wako au vigezo?
Vijijini vya Bumbuli,Pangani,Handeni,Korogwe,Singe huko vinaweza fananisha na Wilaya gani ya Mbeya?
Kwa taarifa Yako Tanga naijua yote na hamna pa kunizuzua,Toka Mjerumani kaondoka hamna kitu hapo..
Hata Sasa ukiuliza Kuna projects gani za maana hapo hakuna zaidi ya mradi wa Bomba ndio uje ilinganishe na Mbeya yenye maviwanda ya TBL,Pepsi,Coca Cola,viwanda vya mabati,Magodoro,vinywaji vikali yaani spirits,viungo,nafaka,cement nk nk?
Wewe na hao loosers wenzio zaidi ya kusimuliwa hamuijui Mbeya ila mumekariri na kusimuliwa ndio maana mnasema Songwe Airport hauko Mbeya 😁😁
Mlipo hamjui kwamba Mbeya ndio Mkoa pekee Kuna industry ya Natura CO2 for domestic and exports hapo sijagusia Geothermal,dhahabu na makaa ya Mawe achilia mbali Neobium na Rare Earth elements..
Ndio mje mlinganishe na hicho kimkoa Cha Tanga Cha watu midebwedo machoko tuu wamejaa hapo bila Bandari na mpaka wa Horohoro hamna kitu..
Simba Gas, is eying a share of the global market of the product, currently valued at $10.36 billion..
www.thecitizen.co.tz