Umekosa harrier tako la nyani KD? Ukipata nitag.Na mm nakujibu kua gari zote zinazokuja africa 99% ni used za nje ambazo kwetu tunaita brand new kwa africa 🤣🤣🤣🤣 zipo probox za 2003 kibao kenya ni kD na kuendelea
Sisi africa kwa ujumla bado sana kufkia hatua za kumiliki wote gari za mayb 5 yrs ago bado sana
Gari nyingi africa zinakuja unakuta gari ni 15yrs au 20yrs ago au mtu kajitahidi sana 10yrs ago
But you dont have food nor proper irrigation infrastructure pia technology ya kujenga maghorofa ni zero.There's a reason why Kenya has a space agency and TZ does not. We have launch facilities, satellite tracking, and telemetry capabilities as well as trained personnel. Talk about things you know about.
Best leagues in Africa.Ligi bora sana africa
Akili kubwa ya kupeleka fedha na kuhamisha wanyama Chato bila kuidhinishwa na Bunge na kutoa list ya wahujumu uchumi isiyokuwa na Msukuma hata mmoja na kuamrisha kuachiwa wale wasukuma waliokamatwa Geita wakitorosha dhahabu! Pia akili kubwa ni kutaka kumega mikoa ya Kigoma na Kagera yenye makabila na desturi tofauti na kupeleka kwenye miliki ya wasukuma wenzie!


Mkuu, watu wenye akili ndogo, hawawezi kuwaelewa watu wenye akili kubwa, sijui unanielewa?.
Kama tutachambua makosa ya Nyerere, Mandela, Fidel Castro, Ge-Gwavara, Robert Mugabe, Kwame Nkuruma, na wengine wenye kufanana, utagundua ni mengi kuliko hayo ya JPM.
Conclusion: Wenye akili ndogo hawawezi kuwaelewa wenye akili kubwa.



Kama nyinyi ni 150 basi sisi ni 350



Naomba hii pdfTanzania Largest City Population rankings
Dar 5.3 Mln
Mwanza 1.1 Mln,
Dodoma 765k
Arusha 600k
Mbeya 550k.
Dom population has grown two times na some parts of Chamwino zikiwa included population inaweza fika 900k,hapa Chamwino haijahusika View attachment 2590540
Kuna watu nimewapa wanasema haifunguki,isipofungua hapa ingia tovuti ya NBS.Naomba hii pdf
Kesi kutokea lazima zitatokea tu hata huko mbeleni , nyingne tutashinda nyingne tutashindwa issue ni kwamba imekua kama ka mchezo ndege kushikwa cause ni weak point serikalini na ndo asset ambazo ni rahisi kushikwa na wanaotudai ,
Hapa ni kulipa deni , ndo dawa maana mpka mnaenda mahakamani maana yake mmoja kaona anaonewa
Hii issue inaifanya sasa AtC isiwe huru maana watu wanakamata ndege ovyo na kuharibu schedules ,so ni muhimu ATC ikawa independent company ..
Mbona nchi nyingne ndege zao hazishikwi ovyo , kwan hao hawana cases
Yule mbishi wa Tanga Yuko wapi? Hii imfikie mwambie kabisa hizi chuma za Mwekezaji ni Mbeya Moja.
Kesho wakipewa data za barabara wasije sema hatukuwaambia 🤣🤣🤣
Muambie education budget yetu ni $5b kwa mwaka wakati yao ni $1.8b kwa mwaka na gap ni the same kwa hizo ministries zengine ukicompare. Na bado tunapeleka $4b kwa mwaka kwenye county governments. Nchi inayopewa misaada kurun ministries ati iwe imetushinda kiuchumi, hawa wabongo wanachekesha
Alikuwa chanzo cha kutofuata taratibu ziwe za manunuzi au upembuzi yakinifu! Tabia ile huleta mwanya wa wizi na kuwa na vitu substandards! Refer ununuzi wa mabehewa ya SGR!What is your point exactly?
You are deflecting attention from the topic. Anyway, let me humor you - I suppose the skyscrapers we post here were imported from Tanzania, with its wonderful building technology?But you dont have food nor proper irrigation infrastructure pia technology ya kujenga maghorofa ni zero.