Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fresh import, tako la nyani. 🤣 🤣 🤣 🤣


Fresh tako la punda 🤣🤣
Screenshots_2023-04-16-23-51-26.png
 
Kwani zinazokuja kutoka japan ni new cars ?? Au unafkiri zinazotoka japan sio used cars 🤣 yani kwenye masuala ya magari ndio usiguse kabisa tulia hvo hvo
Not locally used, Kenya ukiona mahali imeandikwa used car hio sio fresh import.

 
Not locally used, Kenya ukiona mahali imeandikwa used car hio sio fresh import.


Brand new kwetu sisi ila ni used ya nje ndio maana unaona haina hata makaratasi kwenye viti na sehem zingine muhimu 🤣🤣 hio ni used ya nje ila brand new kwetu sisi africa
 
Brand new kwetu sisi ila ni used ya nje ndio maana unaona haina hata makaratasi kwenye viti na sehem zingine muhimu 🤣🤣 hio ni used ya nje ila brand new kwetu sisi africa
Kabisa, hapa Kenya ukiona mahali imeandikwa used cars hizo zimetumika locally.
 
Sasa Mwendazake alipokuwa ananunua ndege na kuzimilikisha Tanzania Government Flight Agency inayomilikiwa na serikali 100% hakujua hilo au ubishi wa kipumbavu? mbona old ATC ilikuwepo na ilikuwa ikifanya flights za Johannesburg na ndege zake hazikukamatwa!

Kuna huu mkesi unanguruma huko!
What is your point exactly?
 
Huwezi kufananisha Rais Mkabila kupata kutokea Tanzania na Nyerere!
Huko ni kumkosea mwl. heshima!

Ukisema Magufuli mkabila ntakushangaa sana, kwakua walio wengi wanaomchukia Magufuli na wanaoongoza hili genge la chuki ni watu waleee wanao sali kuleeeeeeeee- I will leave it at that.

Kipindi cha Nyerere, Jeshi lote lilijaa Wakurya na mpaka leo, idadi kubwa ya Wajeda Tanzania ni Wakurya, na nafasi karibia zote za juu walikuwa Wakurya.
 
Lengo ni kukuonyesha kwamba, duniani Kuna watu wenye akili kubwa ambao hufanya makosa yenye kufanana, sio rahisi kwa watu wenye akili ndogo kuwaelewa.
Hiyo Mikataba ya kijuha ilisigniwa na nani? mingi mikataba ya kishenzi kasign Kikwete na ndio waratibu wakubwa wa matatizo haya kuprove point kwa Watanzania kuwa Magufuli alikosea.

Magufuli alitutoa kwenye mikataba mibovu iliyosigniwa na waleeee wahuni.

Ile Mikataba ilikuwa mibovu mno na ilikuwa sahihi kwake kuitengua tulipe $100M kuliko kulipa over 3$B kimya kimya huko migodini jamaa wakikimbia na mali zetu.
 
Hzi brand new cars au uses from abroad 🤣


Sijui unabishana nini, hio harrier tako la nyani unatuonyesha hapa nimekuambia ni used cars locally. Kama unapinga tuonyeshe any yenye iko registered KDA kuendelea.
 
unapomfukuza mtu uliyempa vitalu kwa sheria zinazotaka arbitration ifanyike London na kushindwa kulinda assets zako huko ng'ambo ni upumbavu uliopitiliza wa Kisukumagang! Kipindi Nyerere anamfukuza mzungu sheria zilizompa ardhi hiyo hazikutaka arbitration ifanyike nje ya Tanzania!


Aliyetoa hivyo vitalu ni nani? Kwa hiyo unataka waibe $3B ili ndege isikamatwe tulipe $100M. Yaani kosa la magufuli ni kutupunguzia mzigo wa kuibiwa from $3B to $100M. Mbona hatuongelei Kikwete aliyesign ujinga ulee??
 
Sijui unabishana nini, hio harrier tako la nyani unatuonyesha hapa nimekuambia ni used cars locally. Kama unapinga tuonyeshe any yenye iko registered KDA kuendelea.
Na mm nakujibu kua gari zote zinazokuja africa 99% ni used za nje ambazo kwetu tunaita brand new kwa africa 🤣🤣🤣🤣 zipo probox za 2003 kibao kenya ni kD na kuendelea

Sisi africa kwa ujumla bado sana kufkia hatua za kumiliki wote gari za mayb 5 yrs ago bado sana

Gari nyingi africa zinakuja unakuta gari ni 15yrs au 20yrs ago au mtu kajitahidi sana 10yrs ago
 
Back
Top Bottom