Kuweka mafuta watalipia, landing fee watalipia na pia wanatutangazia duniani kua tuna airport bora sana ya ku handle giants kama hzo 🤣🤣🤣Na nyinyi ndege kufanya emergency landing dar ndo itawaondolea matatizo kama wananchi wenu kuenda nje kuomba omba? Unareason kama ngombe
Wapi wewe wala usidanganyike na wanasiasa wezi watu wanapiga pesa nyinyi mumebakia kudanganywa na wanasiasa wanaoiba mpaka pumzi zenu😆😆 kama agriculture ya macho imewashinda ya satellite ndio mutaweza au satellite ndio itashusha chakula kenya ??sometimes, seek information badala ya kupayuka:
"The observation satellite is “fully designed and developed” by Kenyan engineers and will be used to provide data on agriculture and food security, among other areas, the statement said.
An East African economic powerhouse, Kenya is suffering its worst drought in decades after five failed rain seasons. "
source::
![]()
Kenya joins big boys club with launch of Taifa 1 satellite in the US
NAIROBI, Kenya Apr 15 - Kenya's launched its first earth observation satellite, Taifa 1, on Saturday, after three failed attempts. The satellite known as - Kenya breaking news | Kenya news today | Capitalfm.co.kewww.capitalfm.co.ke
wewe ni mpumbavu! Ndo maana huwa nakupuuzia! Kumuweka mad Magufuli league moja na Nyerere! Nimekudharau! labda utupe mrejesho wa maendeleo ya Chato baada ya jamaa kufariki! Vipi utalii wa burigi chato NP? vp biashara! Kumbuka zaidi ya $1 bln iliwekezwa kule kimabavu!Kwahiyo kuwa huru kunaondoa ukweli kwamba Nyerere alifanya kosa?.
Hapa point ni kwamba hata Nyerere alifanya kosa lile lile alilofanya JPM.
Conclusion; Kamwe akili ndogo haina uwezo wa "ku-challenge akili kubwa"
Pole sana. Let me have discussions with the many other bright Tanzanians here who are capable of holding an intellectual conversation. Back to your hole. If not, enjoy talking to yourself 😛Wapi wewe wala usidanganyike na wanasiasa wezi watu wanapiga pesa nyinyi mumebakia kudanganywa na wanasiasa wanaoiba mpaka pumzi zenu😆😆 kama agriculture ya macho imewashinda ya satellite ndio mutaweza au satellite ndio itashusha chakula kenya ??
Kondoo wewe mkiambiwa ukweli hamutaki munajifanya kugeuka 😆😆😆😆Pole sana. Let me have discussions with the many other bright Tanzanians here who are capable of holding an intellectual conversation. Back to your hole. If not, enjoy talking to yourself 😛
we utakimbia muda si mrefu saiv unaongea english ya githeri utaongea swahili tu hahahaaaaaPole sana. Let me have discussions with the many other bright Tanzanians here who are capable of holding an intellectual conversation. Back to your hole. If not, enjoy talking to yourself 😛
Yaani wameumia sana 🤣🤣🤣 na wanavopenda sifa sasa
Bro hii ni advantege kubwa sana kidunia tena wametuheshimisha sana 👏👏👏roho inawauma sana hii mara ya pili na yanaona wivu tanzania kungelewa na kuwa sehemu salama ya ndege kutua kwa dharula why.
Huna sababu ya kutoa matusi, watu ndio wenye kuamua kati yangu na wewe nani anajenga hoja zenye mashiko.wewe ni mpumbavu! Ndo maana huwa nakupuuzia! Kumuweka mad Magufuli league moja na Nyerere! Nimekudharau! labda utupe mrejesho wa maendeleo ya Chato baada ya jamaa kufariki! Vipi utalii vp biashara! Kumbuka zaidi ya $1 bln iliwekezwa kule kimabavu!
List kesi Nyerere alizoshindwa!Huna sababu ya kutoa matusi, watu ndio wenye kuamua kati yangu na wewe nani anajenga hoja zenye mashiko.
Nyerere alifukuza mzungu, akashindwa kesi.
JPM alifukuza wazungu, akashindwa kesi.
Hivi tofauti kati ya hawa wawili ni nini?
Conclusion; Kamwe mtu mwenye akili ndogo hana uwezo wa kujua nini akili kubwa inachofikiria.
Does it matter!!Launched in US sio?
![]()
Kenya joins big boys club with launch of Taifa 1 satellite in the US
NAIROBI, Kenya Apr 15 - Kenya's launched its first earth observation satellite, Taifa 1, on Saturday, after three failed attempts. The satellite known as - Kenya breaking news | Kenya news today | Capitalfm.co.kewww.capitalfm.co.ke
Yes Huna launching port! U r wrong to say u launched a satellite! Sema u paid Space X to launch a satellite for Kunyaland!Does it matter!!
List kesi Nyerere alizoshindwa!Huna sababu ya kutoa matusi, watu ndio wenye kuamua kati yangu na wewe nani anajenga hoja zenye mashiko.
Nyerere alifukuza mzungu, akashindwa kesi.
JPM alifukuza wazungu, akashindwa kesi.
Hivi tofauti kati ya hawa wawili ni nini?
Conclusion; Kamwe mtu mwenye akili ndogo hana uwezo wa kujua nini akili kubwa inachofikiria.
Kwani kuna kesi wakati wa uhai wa JPM Tz ilishindwa.?List kesi Nyerere alizoshindwa!