Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna aina yoyote ya usafiri wa barabara ambayo ni organized na efficient kuliko DART Afrika mashariki na kati. Cheki maneno 👇
33552342115_071e6eea3e_b.jpg
32737791973_5f9e77bb18_b.jpg
32737791753_652f83fed2_b.jpg
dar_es_salaam6_DART-Dar_es_Salaam_(Source WRI Brasil - Virginia Tavares).jpg(0).jpg
26868499134_3a946c8fdd_b-jpg.2588538
dar_20170327_xd_677(0).jpg
View attachment 2588541
DART-Pictures-e1470342768874-736x379(1).jpg
.. Simba 254. Kama una wivu we jiue tu ila huwezi badili chochote kuhusu huu ukweli
 
Attachments

  • 26868499134_3a946c8fdd_b.jpg
    26868499134_3a946c8fdd_b.jpg
    102.2 KB · Views: 9
Taifa 1. In Space successfully.
Wabongo hawaelewi mambo ya Space. Rockets to space depend much also on weather. Now you know
View attachment 2588517View attachment 2588518
Launched in US sio?

Angola na Kenya by 2030 tunaweza kuwapita ila Ethiopia ni ngumu sana, population Yao Ina guarantee soko la uhakika.

DRC inakuja kwa kasi sana. Ndani ya miaka 10 tutaona tofauti kubwa.
By the way Eastern Africa tunajitahidi.
SADC pia tupo vizuri

Top 10 biggest economies in sub-Saharan Africa in 2023

1. Nigeria $506.6 billion 🇳🇬
2. South Africa $399 billion 🇿🇦
3. Ethiopia $156 billion 🇪🇹
4. Kenya $118.1 billion 🇰🇪
5. Angola $117.8 billion 🇦🇴
6. Tanzania $85.4 billion 🇹🇿
7. Còte d'Ivore $77 billion 🇨🇮
8. DRC $69.4 billion 🇨🇩
9. Ghana $66.6 billion 🇬🇭
10. Uganda $49.7 billion 🇺🇬

- IMF, current prices
 
Angola na Kenya by 2030 tunaweza kuwapita ila Ethiopia ni ngumu sana, population Yao Ina guarantee soko la uhakika.

Angola kumpita ni ngumu sana maana ni petrodollar economy ila Kenya na Ethiopia ni rahisi sana especially ukizingatia current KES trend uchumi wa Kenya utakuwa una range from 90 - 100bn now as we speak. For Ethiopia low economic base ndio tatizo kubwa na high population.
 
Angola atapitwa tuu Kwa sababu hana population kubwa ya ku guarantee expansion kubwa ya uchumi..

Mbona Kunyaland pamoja na njaa zake keshampita Angola? Jeuri ya Tanzania ukiacha kuwa na resources nyingi pia tuna population kubwa na tuko strategic kwenye logistics business..

2030 tutawapita hao wote labda wa kututisha ni DRC tuu.
 
Back
Top Bottom