Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20230416_145713_com.facebook.lite.jpg
 
Huna sababu ya kutoa matusi, watu ndio wenye kuamua kati yangu na wewe nani anajenga hoja zenye mashiko.

Nyerere alifukuza mzungu, akashindwa kesi.

JPM alifukuza wazungu, akashindwa kesi.

Hivi tofauti kati ya hawa wawili ni nini?

Conclusion; Kamwe mtu mwenye akili ndogo hana uwezo wa kujua nini akili kubwa inachofikiria.

joto la jiwe najua hutaki tu kusema jamaa ni kubwa jinga fulani. Umebaki ni wewe tu unajibizana nalo hilo tutusa. Jamaa ata usitaharabu kidogo unaomuonyesha kwa kumjibu bila matusi yeye haoni anabaki kutoa matusi. Achana nalo
 
Geza ninamuheshimu na kumpenda Sana, ninaweza kusema kwamba Mimi ni miongoni mwa watu wachache Sana wanaomkubali Geza hapa JF.
 
Huyo mzungu aliyekamata ndege yetu Kule South Africa, alifungua kesi ktk mahakama za Tanzania na akashinda kesi yake na mahakama za Tanzania zikaamuru GoT kumlipa fidia, nani aliyemfukuza Kama sio Nyerere?
leta supporting links! kesi ilikuwa mwaka gani na verdict ilitolewa lini! Huwezi ukaongea tu!
 
MARCOPOLO Assembled in Kenya
Our lazy neighbors import the same from China
IMG_164527_16423.jpg
 
Back
Top Bottom