joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hawa ni kutoka nchi gani?Show me any evidence ya mtu amekufa njaa
Hawa ni kutoka nchi gani?Show me any evidence ya mtu amekufa njaa
Yuko sahihi Kwa kumkashifu Kwa sababu Kwa nini urudie kosa wakati unajua kitakachofuata?Hakuna anayelaumu Wala kulalamika, Geza ndiye anayemkashifu JPM kwa kufukuza watu bila kufuata taratibu, lakushangaza anamtetea Nyerere ambaye ndiye mwanzilishi wa kufukuza watu bila kufuata taratibu.
techcabal.com
www.capitalfm.co.ke
www.capitalfm.co.ke
hapakenya.com
Wewe nyoko mwache Nyerere kwenye mdomo wako! Huwezi kumfananisha na upuuzi wa Magufuli! Ati big brain? Wakati kesi za madai yasiyopungua $400 mln kwa maamuzi yake ya kipumbavu! Big brain kwa Wasukuma wenzie!Hakuna anayelaumu Wala kulalamika, Geza ndiye anayemkashifu JPM kwa kufukuza watu bila kufuata taratibu, lakushangaza anamtetea Nyerere ambaye ndiye mwanzilishi wa kufukuza watu bila kufuata taratibu.
Huwezi kuwa sawa upande mmoja, wote wawili wamefanya kosa lile lile.Yuko sahihi Kwa kumkashifu Kwa sababu Kwa nini urudie kosa wakati unajua kitakachofuata?
kwavile mahakama zilikuwa huru taja kesi serikali ilishindwa chini ya Magufuli!Mbona alishindwa kesi, tena ilifanyika hapa hapa Tanzania kwa kutumia majaji na Sheria zetu wenyewe tulizojiwekea sisi wenyewe, huo utauitaje?
Haina tija kama watu wanakufa njaa huku gharama za maisha zikizidi kichwa na baso usalama wa nchi haupo 😆😆😆 satellite ndio itawaletea chakula au?? Au ndio italipa madeni yasiolipikaJamaa atakuambia kenya kurusha satellite angani haina tija kisha baadae aanze kushangilia ndege kupiga emergency landing kwao. What a bunch of morons we have here
cioafrica.co
Na nyinyi ndege kufanya emergency landing dar ndo itawaondolea matatizo kama wananchi wenu kuenda nje kuomba omba? Unareason kama ngombeHaina tija kama watu wanakufa njaa huku gharama za maisha zikizidi kichwa na baso usalama wa nchi hauposatellite ndio itawaletea chakula au?? Au ndio italipa madeni yasiolipika
Amount gani ww wakat debt to GDP ratio iko 80% alaf unasema investments gani mumefanya ya maana? Unajenga interchange ahero wakat ahero itahitaj interchange 50yrs to come hio ndio investments? Ndio maana nchi imejaa madeni na maendeleo hayaonekani🤣🤣Kwa ground you can’t compare with Kenya… the amount we invest in education, roads and devolution is something you can’t compare to your economy, wacha upuzi unao furahisha media eti sijui njaa na mishahara usiwadanganye
sometimes, seek information badala ya kupayuka:Haina tija kama watu wanakufa njaa huku gharama za maisha zikizidi kichwa na baso usalama wa nchi haupo 😆😆😆 satellite ndio itawaletea chakula au?? Au ndio italipa madeni yasiolipika
www.capitalfm.co.ke
Kwahiyo kuwa huru kunaondoa ukweli kwamba Nyerere alifanya kosa?.kwavile mahakama zilikuwa huru taja kesi serikali ilishindwa chini ya Magufuli!
Alaf education yenyewe munajenga magorofa yanadondoka kila leo, hio hio education haiwez wasaidia kuzuia njaa 😆Muambie education budget yetu ni $5b kwa mwaka wakati yao ni $1.8b kwa mwaka na gap ni the same kwa hizo ministries zengine ukicompare. Na bado tunapeleka $4b kwa mwaka kwenye county governments. Nchi inayopewa misaada kurun ministries ati iwe imetushinda kiuchumi, hawa wabongo wanachekesha