Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eastleigh, so many apartments are under construction.
Fs4XesyXsAQNLVz
 
Watupe majibu kwanza hzo ndege ambazo zime ground ziko wapi na mwisho wake ni nn, na ile ndege iliyotekwa iko wapi, wasituletee mambo ya kisenge, ndege zipo na hazifanyi kazi huku air Tanzania daily ni delay tu wanakuja na majibu mepesi ya kisenge senge, ooohhh ndege zinakuja, sasa ndege zinakuja alafu zile za mwanzo ziko wapi?
Hili ni tatizo
 
Tanzania ndiyo nchi pekee EA yenye usafiri wa umma wa uhakika kuanzia angani, majini mpk ardhini, hakuna nchi yoyote EA yenye miundombinu bora kama Tz.

Ardhini kuna BRT system na electrified SGR, angani kuna atcl, majini kuna meli kubwa za abiria na mizigo pia kuna boats za kisasa zaidi.
Screenshot_20230407-101455.jpg
 
Back
Top Bottom