ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Asanteni wakenya Nicxie NairobiWalker mwathadan etc na wengine waliopiga kura ๐๐๐๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
Naona deal langu jingine hapa kwa ishu za condition monitoring maintenance.. ila bado sana mana mashines zitakuwa bado mpyaKiwanda kipya cha mkulazi sugar kimefkia asilimia 75%
View attachment 2577643View attachment 2577644View attachment 2577645
Watupe majibu kwanza hzo ndege ambazo zime ground ziko wapi na mwisho wake ni nn, na ile ndege iliyotekwa iko wapi, wasituletee mambo ya kisenge, ndege zipo na hazifanyi kazi huku air Tanzania daily ni delay tu wanakuja na majibu mepesi ya kisenge senge, ooohhh ndege zinakuja, sasa ndege zinakuja alafu zile za mwanzo ziko wapi?
Juakali typeTenwek Hospital Cardiothoracic Centre 62% complete (Bomet County)
View attachment 2577505View attachment 2577506View attachment 2577507View attachment 2577508

Hawa ni wanyama, sio binadamu wa kawaidaHawa nyang'au akili zao wanazijua wenyewe![]()
kutoka kwa mkenya
samahani kwa Watanzania wanaoishi kwenye nyumba kama hizi ila ukweli wa hizi kind of housings zimeelezewa vizuri na huyu mkenya especially kama unaishi na familia humo
watu wa pipeline wapo attacked