Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii terminal na location yake ilivyokaa itakua sio tu kwaajili ya boarding and dropping, hii itakua multifunctional city joint hasa ukizingatia pana many shopping & eating slots and the fact that it's in CBD, ya Nairobi ipo vichakani 🚮

20230407_070506.jpg
 
Nilistaajabu kuskia mtoto wa january makamba anafanya party kwenye private jet🤣🤣🤣🙌
Mtu kama mzee makamba anaulizwa swali na mwandishi anajibu pumpa tena kwa kuhamaki yote ni kwasababu ya kutetea madudu

Ummy mwalimu wizara ilishamtoa kamasi siku nyingi sana ila ndio utasema nn? Utajibiwa haki sawa kwa kila mtu

TTCL ilikua inafanya vzr na inakuja vzr sana ila kaingia yule mzee wa madudu kaenda kuua kampuni kwa maslahi ya private telecommunication companies, kuna siku bungeni alibanwa na wabunge kuhusu internet kwamba iishe kwa matumizi ya mtu na sio masaa 24, ila majibu aliyoyatoa ni madudu matupu utasema hakuchaguliwa na wananchi eti TTCl haijui madeni inayodai🙌

Wizara ya fedha unaenda kumpa mwigulu nchemba serious? Yani hapa ndio nilichoka kabisa, juzi kabanwa bungeni kuhusu ufisadi air tanzania kachinganya kamwingiza na rais kwenye tuhuma 😆😆😆 mzee wa tab and trat

Sisi sio wapiga kelele tu! Sema watu wameshafunguka na sasa ndio itakuwa noma na report hii!

Samia hana la kuwafanya kwakua wamefanya mengi mno ya kumuhujumu Magufuli pamoja na lile group, so hawezi kuwafanya chochote na ndio wanafanya watakalo.







Ndio maana sisi Makamba alipoteuliwa tu, tulisema haya.

 
Back
Top Bottom