Wewe sio Mtanzania, ni rahisi sana kukugundua.Pangani ni Mji wa Utalii Kuna beaches Kali kama za Zenji kule.
Ukaweke Arusha na Mwanza pesa zitarudi vipi?
Oya Mashashola cheki pisi hizi za kibongo .. wachana na kula zile pisi zako za buku tano tano.. pisi imesimama ..🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
View attachment 2578606
Mademu wa Kenya sasa😆😆😆 n bonge la komweOya Mashashola cheki pisi hizi za kibongo .. wachana na kula zile pisi zako za buku tano tano.. pisi imesimama ..
Kwani stadiums ni ya mpira pekee? Sema Tz is only good on one sport. We are good on athletics, rugby javelin. Also stadiums are used to host eventsNi pupa ndio kwa mpira gani uliopo kenya hvi kenya kuna mpira wa kweli?? 🤣🤣
Yani najaribu kukuonesha vile hua muna pupa ya kukimbilia miradi isikua na tija kaa taifa ndio maana nimegusia ile interchange ya ahero
Sio suala la kuumia ni suala la kujua ukweli
Nyinyi ni watu wakuchekesha kila siku na hili tatizo hua hamujifunzi miaka nenda miaka rudi 🤣🤣 siasa za wakubwa zinawafanya munakua mafala sanaKwani stadiums ni ya mpira pekee? Sema Tz is only good on one sport. We are good on athletics, rugby javelin. Also stadiums are used to host events
Mwanza inafeli wapi? Mandhari nzuri lakini poor skyline inazidiwa na Arusha
wacha kupangia watu wenye hela zao wapi pa ku-invest era za mwendazake zimepita!
Ww naona unachuki binafsi na mikoa ya kaskazini na hata sishangai 🤣🤣Mwanza inafeli wapi? Mandhari nzuri lakini poor skyline inazidiwa na Arusha
Muache Magufuli, kazi zake zimetukuka.
Magufuli alimtoa Ummy kwenye Wizara ya Afrya.
![]()
Wizara ya wakata umeme hii, imerudisha madudu ya malipo haya ya kishenzi.
![]()
Both fools currently ndio mawaziri wa wizara husika walitimuliwa na magufuli na Samia kawarudisha hapo.
Samia hana uwezo wa kuongoza Tanzania na ni wachache sana wenye walikua na uwezo huo, nao ni: Nyerere, Magufuli.