Nyie watu ni hovyo sn, majani tuu mmeshindwa kuyatunza, yani you are not civilized kabisa, ikiwa majani tuu mmeshindwa kuyatunza je electrifitried SGR mtaweza kweli? Hovyo sn wakundustan.Latest models only.old cars wachia wabongo.
![]()
Vifo vingi vinatokea Kenya kutokana na maghorofa kuanguka, elimu yao ni mbovu sana haiwezi kutoa wahandisi bora, pia zaidi ya ubovu wa elimu Kenya rushwa na tamaa vinachangia plus lack of patriotism. Wakenya wengi hawakufundishwa uzalendo kupelekea wengi kuichukia nchi yao.
Hata wao wanajiuliza 😆😆😆Vifo vingi vinatokea Kenya kutokana na maghorofa kuanguka, elimu yao ni mbovu sana haiwezi kutoa wahandisi bora, pia zaidi ya ubovu wa elimu Kenya rushwa na tamaa vinachangia plus lack of patriotism. Wakenya wengi hawakufundishwa uzalendo kupelekea wengi kuichukia nchi yao.
The same as our MGR.Mwakani gang mnajionea numbers?
View attachment 2580021